Kuna trafic, TRA, Mahakama na ardhi zimetubeba vizuri snYaani hadi DRC na Manyang'au Kenya tumewazidi! Hii ni hatari sana. Na usikute trafiki ndiyo watakuwa wametubeba kwenye hiyo orodha.
...from least to most corruptWakuu,
Tanzania tunaendelea kung'aa kimataifa. Royal tour na safari za nje zinaendelea kupendezesha sifa za nchi yetu
Mama anatekeleza. CCM mitano tena!
================================================
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Uzi ukiwekwa huwa hamtaki kusoma mnakimbilia kucomment?Yaani hadi DRC na Manyang'au Kenya tumewazidi! Hii ni hatari sana. Na usikute trafiki ndiyo watakuwa wametubeba kwenye hiyo orodha.
Traffic police kunanuka rushwa. Na sijui takukuru wamekwama wapi kufuatilia hiki kitengo. Ingekuwa mimi ningewadaka 2000 Kila siku na wangeogopa kupokea rushwa. Pesa za moto wanazo wanai maofisini tu.Yaani hadi DRC na Manyang'au Kenya tumewazidi! Hii ni hatari sana. Na usikute trafiki ndiyo watakuwa wametubeba kwenye hiyo orodha.
Takukuru tokeni maofisini mkarunguke na mkaanzenma magari ya abiria. Askari akisimamisha bus mpe driver au Kondakta pesa ya moto akishampa muibukie mkamate. Mbona mtafanikiwa kwa 70% kupunguza rushwa kwa hawa traffic police!?Traffic police kunanuka rushwa. Na sijui takukuru wamekwama wapi kufuatilia hiki kitengo. Ingekuwa mimi ningewadaka 2000 Kila siku na wangeogopa kupokea rushwa. Pesa za moto wanazo wanai maofisini tu.
Tanzania Tumeonewa, Tulistahili namba ya JuuWakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Hii habar ni uongo mtupu. Mnawajua wakenya nyie?Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Bado haiwezi kuondoa ukweli wa kukithiri kwa vitendo vya rushwa, na hasa kwa askari wetu wa usalama barabarani.Uzi ukiwekwa huwa hamtaki kusoma mnakimbilia kucomment?
Hiyo list ni from least to most corrupt. Wameanzia yenye viwango vya chini kwenda juu
Utasikia kwa hili kupiga mwingi...Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International