Zifahamu nchi zisizokuwa na rushwa Afrika Mashariki. Tanzania yashika nafasi ya 2

Wakuu,

Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.

Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Basi Afrika rushwa ni hatari sana.
Looo!Naungana na Trump.
 
Wakuu,

Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.

Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
🤔 🤔 🤔
 
Wakati wanafanya utafiti walikwenda wenyewe au walituma watu?
Hao waliokwenda kwenye utafiti walivaaje?
Je walikwenda kwenye taasisisi zipi kupima hiyo rushwa?
Polisi?
Mahakama?
 
Wakuu,

Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.

Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Unaongelea rushwa ya kiwango gani? Rushwa ndogo ndogo ( unaniachaje mkuu/boss) au ya kuathiri uchumi au ya kuihujumu nchi kiusalama? Au hakuna vipengele vinavyofanana?
 
Uzi ukiwekwa huwa hamtaki kusoma mnakimbilia kucomment?
Hiyo list ni from least to most corrupt. Wameanzia yenye viwango vya chini kwenda juu
Lugha ya kiingereza ngumu kaka.Ndio maana wavimba macho wanakurupuka ku comment.Wameona namba 1 na 2 wakajua ndio wanaongoza kwa rushwa wakati ni least corrupt countries in East Afrika.
 
Zisizokuwa na Rushwa na zinazoongoza kwa rushwa which is which mkuu
 
Wakuu,

Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.

Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
 
Attachments

  • Screenshot_20250213_083039_Instagram.jpg
    Screenshot_20250213_083039_Instagram.jpg
    510.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250213_083034_Instagram.jpg
    Screenshot_20250213_083034_Instagram.jpg
    446.2 KB · Views: 1
Hata ingekuwa ya ngapi... Ndani ya 10 sio habari nzuri hizi. Ila labda hawajafanya yao kiu ndani haswaa ingekuwa zaidi.
Nchi za jumuia ya Afrika Mashariki ndio index inaonesha.Umeelewa kilichoandikwa?Shule ulienda kufanya nini?Kusomea ujinga?
 
Hizo takwimu hazina tija. Yaani unashindanisha nchi nane kwenye suala mtambuka kama hilo. Hata ukiwachukua vilaza ukawapa mtihani lazima utapata atakayeongoza. Haimaanishi ni kipanga
 
Back
Top Bottom