Zifahamu nchi zisizokuwa na rushwa Afrika Mashariki. Tanzania yashika nafasi ya 2

Zifahamu nchi zisizokuwa na rushwa Afrika Mashariki. Tanzania yashika nafasi ya 2

Wakuu,

Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2

Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Ulichoandika unakijua lakini? Tanzania ni No. 2 from least to most corrupt out of 8 countries halafu ni ya pili kwa rushwa! Dah!
 
Tanzania imeendelea kufanya vizuri kwenye Mapambano ya Rushwa baada ya Kutajwa kuwa miongoni mwa Nchi 15 Zenye rushwa kiduchu sana.

Taarifa hii ni mafanikio makubwa Kwa Serikali ya Samia katika jitihada zake za kupambana na rushwa.

Kwa Afrika Mashariki ,Tanznaia 🇹🇿 imeshika nafasi ya 2 nyuma ya Rwanda ikizipoga chini Nchi zingine.

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1889717876879229102?t=Vc1qKT70o1MpT1y8taJJvg&s=19

My Take
Wale wa Katiba Mpya na No Election No reform wanaitwa huku watoe povu maana wote wenye Katiba Mpya hamna kitu ni hovyo tuu 😂😂😂😂
Screenshot_20250212-120700.jpg
 
Hata ingekuwa ya ngapi... Ndani ya 10 sio habari nzuri hizi. Ila labda hawajafanya yao kiu ndani haswaa ingekuwa zaidi.
 
...from least to most corrupt

Hujaelewa hiyo lugha hapo wanamaanisha zenye kiwango kidogo cha rushwa kwenda viwango vikubwa, Kwa list hiyo Rwanda ni namba 1 kwa rushwa kidogo na Tanzania ni ya pili
Mkuu Lugha ya Kigeni ni shida kwa wengi wao hata kama wanajifanya wanaijua akiwemo mtoa post! Ahahahahaha!!
 
Ni kama unasema katika mashindano ya vipofu nimekuwa tatu bora (wakati wewe sio kipofu)
 
Back
Top Bottom