Zifahamu simu bora za Infinix mwaka 2023

Zifahamu simu bora za Infinix mwaka 2023

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—•๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฏ

Moja Kati ya kampuni inayokuja kwa Kasi mwaka 2023 ni Infinix ambayo imekua ikitoa simu za aina mbalimbali zenye muonekano mzuri, picha, uwezo , ufanisi nk.

Leo nakuletea list za simu Bora toka kampuni ya Infinix ikitokea unahitaji simu basi hakikisha unamiliki hizi simu utazipenda balaa [emoji108]

Tumeangalia mambo mbalimbali katika kutoa list za simu Bora toka kampuni ya Infinix [emoji116]
โ€ข muonekano mzuri , ufanisi wakati unatumia simu
โ€ข betri imara Yani yenye kudumu na chaji
โ€ข speaker nzuri zenye kutoa sauti nzuri
โ€ข storage ya kuhifadhi vitu , ram,
โ€ข kamera yenye kutoa picha Kali Kwenye mazingira yoyote bila shida.
โ€ข zenye uwezo wa kupokea android version 14, na kuendelea.

images%20(78).jpg


Tafuta simu zifuatazo
  • Infinix Note 30 VIP
  • Infinix Note 30 Pro 4G
  • Infinix Hot 30
  • Infinix Zero ultra 5G
  • Infinix Zero 20
  • Infinix Note 10 pro
  • Infinix Zero X
  • Infinix Note 12 5G
  • Infinix Gt 10 pro

Ukifanikiwa kutumia hizo simu utaweza ku enjoy sana vipi tuachie maoni Yako unatumia simu gani ya Infinix ? Je utakuja kununua hizi simu au lah ?
 
Back
Top Bottom