Zifahamu siri za maisha

Zifahamu siri za maisha

Mi hizi ishu za marafiki huwa nazichukulia kama watu wa kupiga nao story, kwenda viwanjani, n.k na hapo kigezo kikuu ni kuwa level moja hasa katika uchumi, maana huwezi ukawa boss wa taasisi kubwa eti unamwona steve nyerere ni rafiki [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anakuona ngazi tu, kwa hio ni muhimu sana uwe na marafiki hamjapishana sana, lasivyo moja atakuwa chawa, ataanza kuhisi unamnyayasa hata ukimpa msaada, ataogopa kukukosoa ili kulinda tumbo lake, n.k
Inaelekea umekulia maisha ya shida sana, sasa unajisikia na kutaka kufidia machungu.

Hii roho itakutesa sana, sasa hivi Ole Sabaya na hadhi yake yote rafiki zake sio hao tena unsowawaza wewe ulivyo mjinga.
 
Fafanua ,Dada vua ,ongeza nyama
Wachawi ni walimu wazuri sana wa somo la saikolojia wanajua sili nyingi kuhusu elimu nafsi akikwambia ktu kifanyie kazi lazima utapata feedback kukihusu

Mshana Jr ni mchawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] and i know you will never believe me ila fanyia kazi mabandiko yake hutaweza kutoka salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siri ya tatu;
emoji1428.png
Kuna njia tatu tu za kufanikiwa maishani. Njia hizo ni 1.bahati, 2.kipaji na 3.bidii yenye akili! Jitafute ulipo! Huna bahati, huna kipaji halafu unalala mchana
emoji276.png
emoji276.png
!

umenena vema sana,
wengine bahati nzuri huanzia tangu wanavyozaliwa, wengine wana zaliwa na bahati mbaya .

kazi kweli kweli....
anyway sisi tujitahid na kuzitengeneza hizo bahati , tuwe na bidii na tutumie vizuri vipaji vyetu tulivyojaliwa.
 
Wachawi ni walimu wazuri sana wa somo la saikolojia wanajua sili nyingi kuhusu elimu nafsi akikwambia ktu kifanyie kazi lazima utapata feedback kukihusu

Mshana Jr ni mchawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] and i know you will never believe me ila fanyia kazi mabandiko yake hutaweza kutoka salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji23]
 
Nilihudhuria presentation moja kule majuu, mzungu ana miaka kama sitini anafanya presentation ya proposal yake ya Masters.......kwa hiyo huyu atakuwa anakwenda sambamba na siri namba 11...............
 
Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu[emoji2089][emoji2089]![emoji23]
Kama Dangote mwenyewe OG anavyoliliwa na mademu wakali, Hawaoni jamaa kazeeka.
 
Back
Top Bottom