Zifahamu siri za maisha

Inaelekea umekulia maisha ya shida sana, sasa unajisikia na kutaka kufidia machungu.

Hii roho itakutesa sana, sasa hivi Ole Sabaya na hadhi yake yote rafiki zake sio hao tena unsowawaza wewe ulivyo mjinga.
 
Fafanua ,Dada vua ,ongeza nyama
Wachawi ni walimu wazuri sana wa somo la saikolojia wanajua sili nyingi kuhusu elimu nafsi akikwambia ktu kifanyie kazi lazima utapata feedback kukihusu

Mshana Jr ni mchawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] and i know you will never believe me ila fanyia kazi mabandiko yake hutaweza kutoka salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siri ya tatu;
Kuna njia tatu tu za kufanikiwa maishani. Njia hizo ni 1.bahati, 2.kipaji na 3.bidii yenye akili! Jitafute ulipo! Huna bahati, huna kipaji halafu unalala mchana !

umenena vema sana,
wengine bahati nzuri huanzia tangu wanavyozaliwa, wengine wana zaliwa na bahati mbaya .

kazi kweli kweli....
anyway sisi tujitahid na kuzitengeneza hizo bahati , tuwe na bidii na tutumie vizuri vipaji vyetu tulivyojaliwa.
 
Hahahaha[emoji23]
 
Nilihudhuria presentation moja kule majuu, mzungu ana miaka kama sitini anafanya presentation ya proposal yake ya Masters.......kwa hiyo huyu atakuwa anakwenda sambamba na siri namba 11...............
 
Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu[emoji2089][emoji2089]![emoji23]
Kama Dangote mwenyewe OG anavyoliliwa na mademu wakali, Hawaoni jamaa kazeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…