Zifahamu siri za maisha

Hii falsafa umeisomea wapi? Labda kizazi chako kimetaokana na Wayunani wa kale. Hebu Google Athens au Miletus uone wazee wa zamani walisemaje.
 
Juzi ulileta kanuni 11 za shetwani. Leo umekuja na siri 11 za maisha. Kuna uhusiano wowote?
 
Mkuu we ni mtu wa madini sana, na unasaidia sana ku stimulate bongo za wenye akili
 
I got you my brother
thank you very much for a wonderful message
Best of luck Brother!
 
Na siri kubwaaa kabisa ni kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yangu [emoji4][emoji4]
Kabisa hii ndio fungakazi. Hapa waliompokea Yesu maishani mwao ndo wanaelewa vizuri zaidi ulichokiandika hapa. Yesu yupo kwa ajili ya kutuhakikishia uzima wa hapa duniani na ule utakaofunuliwa baadae. Hakuna raha zaidi kuliko raha ya mtu kuishi ukijua utokako na kule uendako.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…