Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

2. Nchini Pakistani, Wakati wabongo wanavuta bangi na shisha basi wapakistani wao wanavuta unga wa nge. walevi hawa huchukua Nge aliekufa na kumsaga kupata unga wake. unga ambao huchanganya na tumbaku au hashish.

unaambiwa stimu ya huu mchanganyiko unaweza dumu mpaka masaa 10
 
3. Nchini uhispania kuna sherehe (festival) inaitwa "La Tomatina" ambayo ni kama vita ya nyanya. kwenye sherehe hizi watu wanabondana na nyanya for fun kusherehekea siku hiyo. unaambiwa zaidi ya nyanya 150000 zilitumika kwenye La Tomatina ya mwaka 2023.

sherehe hizi zimekua kivutio cha watalii wengi kutembelea hispania wakati wa sherehe hizi.
 
Huo unga wanatumiaje mkuu?
 
Huko TZ utamaduni wao ni kuwa ukishamaliza masomo ya chuo kikuu unatakiwa uende VETA. Hayo ni kwa mujibu wa waziri mkuu wao amabaye kitaaluma ni mwalimu ambaye baada ya kumaliza certificate yake ya ualimu hakwenda VETA badala yake alishika chaki huku akiendelea na uchawa kwenye chama chakavu hadi akawa mkuu wa wilaya hadi waziri mkuu. Sasa ndio kashashiba kodi zao anataka wanaomaliza degrees waende VETA
 
5. Nchini madagascar, familia za marehemu hufukua makaburi ya wapendwa wao, huosha maiti zao upya na kuwavalisha sanda mpya na kucheza nao ngoma na mziki kama sherehe na tambiko. sherehe hizo hutwa ma'nene au sherehe za kusafisha maiti hufanyika baada ya miaka 7 ya kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…