Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

6. Nchini Indonesia kama ilivyo Madagascar napo huwafukua wapendwa wao na kuwavika nguo mpya kama ishara ya kuwakumbuka na kusheherekea maisha yao maisha yao wakati wako hai.

Utofauti wa Madagascar na Indonesia ni kwamba Madagascar wanawatoa wapendwa wao mwaka wa 7 tangu kufariki kisha ,kila baada ya miaka yenye namba witiri kama vile 5, 7 au 9 huku Indonesia wakiwatoa kila baada ya mwaka mmoj
20250314_145625.jpg
a
 
. Nchini china, Mabinti walikua wakifunga miguu yao ili kupata mguu unaofanania na ua lotus "Lotus Feet" binti mwenye mguu wa namna hii alikua akionekana ni mrembo na mwenye hadhi kubwa. serikali ya china ilipiga marufuku utamaduni huu mwanzoni mwa miaka ya 1900.
20250314_145716.jpg
20250314_145712.jpg
 
8. Nchini Thailand na Myanmar, Kuna kabila la kayan ambalo wanwake wao huvaa ringi za shaba shingoni ili kurefusha shingo zao. wanawake wenye ringi nyingi huonekana ndo wazuri zaidi na wenye hadhi kubwa baina yao
20250314_145823.jpg
 
2. Nchini Pakistani, Wakati wabongo wanavuta bangi na shisha basi wapakistani wao wanavuta unga wa nge. walevi hawa huchukua Nge aliekufa na kumsaga kupata unga wake. unga ambao huchanganya na tumbaku au hashish.

unaambiwa stimu ya huu mchanganyiko unaweza dumu mpaka masaa 10View attachment 3270070
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!
 
3. Nchini uhispania kuna sherehe (festival) inaitwa "La Tomatina" ambayo ni kama vita ya nyanya. kwenye sherehe hizi watu wanabondana na nyanya for fun kusherehekea siku hiyo. unaambiwa zaidi ya nyanya 150000 zilitumika kwenye La Tomatina ya mwaka 2023.

sherehe hizi zimekua kivutio View attachment 3270072cha watalii wengi kutembelea hispania wakati wa sherehe hizi.View attachment 3270071
Uchizi is Inevitable
 
6. Nchini Indonesia kama ilivyo Madagascar napo huwafukua wapendwa wao na kuwavika nguo mpya kama ishara ya kuwakumbuka na kusheherekea maisha yao maisha yao wakati wako hai.

Utofauti wa Madagascar na Indonesia ni kwamba Madagascar wanawatoa wapendwa wao mwaka wa 7 tangu kufariki kisha ,kila baada ya miaka yenye namba witiri kama vile 5, 7 au 9 huku Indonesia wakiwatoa kila baada ya mwaka mmojView attachment 3270139a
Hawaozi?
 
Angalizo msinidai picha sina ila

Sikumbuki vizuri ni nchi gani huko West Africa mabinti wakivunja ungo hutakiwa kuingiliwa kimwili na wajomba zao ili kukamilisha mila
 
Huko TZ utamaduni wao ni kuwa ukishamaliza masomo ya chuo kikuu unatakiwa uende VETA. Hayo ni kwa mujibu wa waziri mkuu wao amabaye kitaaluma ni mwalimu ambaye baada ya kumaliza certificate yake ya ualimu hakwenda VETA badala yake alishika chaki huku akiendelea na uchawa kwenye chama chakavu hadi akawa mkuu wa wilaya hadi waziri mkuu. Sasa ndio kashashiba kodi zao anataka wanaomaliza degrees waende VETA
la tomatina unatikiwa udundwe nayo na uvutishwe unga wa nge pengine akili itakukaa vema. Umeambiwa nenda VETA ukapate ufundi ujiajiri. povu linakutoka
 
Huko TZ utamaduni wao ni kuwa ukishamaliza masomo ya chuo kikuu unatakiwa uende VETA. Hayo ni kwa mujibu wa waziri mkuu wao amabaye kitaaluma ni mwalimu ambaye baada ya kumaliza certificate yake ya ualimu hakwenda VETA badala yake alishika chaki huku akiendelea na uchawa kwenye chama chakavu hadi akawa mkuu wa wilaya hadi waziri mkuu. Sasa ndio kashashiba kodi zao anataka wanaomaliza degrees waende VETA
hivi waziri mkuu ana degree kweli ?
 
Back
Top Bottom