Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hoja.Za bongo
1. Ukimuuliza mtu swali yeye hukuuliza swali badala ya kutoa jubu kwanza ndo ahoji
. Nchini china, Mabinti walikua wakifunga miguu yao ili kupata mguu unaofanania na ua lotus "Lotus Feet" binti mwenye mguu wa namna hii alikua akionekana ni mrembo na mwenye hadhi kubwa. serikali ya china ilipiga marufuku utamaduni huu mwanzoni mwa miaka ya 1900.View attachment 3270140View attachment 3270141
Hapa ni nini tena kinaendelea?!!Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi dunianiView attachment 3270069
Mayai viza yalihusisha ugomvi wa vijiji zaidi😂La tomatina tumeicheza sana utotoni. Tulikuwa tunapendelea nyanya masalo ukipigwa nalo linapasuka lote na kukuchafua. Kingine pia tulipendelea mayai viza likikundunda linakuachia harufu mbaya
Fan fact: wakazi wa Madagascar ni mchanganyiko wa waafrika na watu wenye asili ya Indonesia na maeneo mengine jirani , kinachoendelea Madagascar ni tamaduni za huko Indonesia6. Nchini Indonesia kama ilivyo Madagascar napo huwafukua wapendwa wao na kuwavika nguo mpya kama ishara ya kuwakumbuka na kusheherekea maisha yao maisha yao wakati wako hai.
Utofauti wa Madagascar na Indonesia ni kwamba Madagascar wanawatoa wapendwa wao mwaka wa 7 tangu kufariki kisha ,kila baada ya miaka yenye namba witiri kama vile 5, 7 au 9 huku Indonesia wakiwatoa kila baada ya mwaka mmojView attachment 3270139a
Aisee😳😳😳😳😳Akifa nduguyo unakatwa kidole kimoja kuonesha uchungu.. Wakifa watano kwa mpigo, kiganja chote kinakwenda na maji😂