Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

6. Nchini Indonesia kama ilivyo Madagascar napo huwafukua wapendwa wao na kuwavika nguo mpya kama ishara ya kuwakumbuka na kusheherekea maisha yao maisha yao wakati wako hai.

Utofauti wa Madagascar na Indonesia ni kwamba Madagascar wanawatoa wapendwa wao mwaka wa 7 tangu kufariki kisha ,kila baada ya miaka yenye namba witiri kama vile 5, 7 au 9 huku Indonesia wakiwatoa kila baada ya mwaka mmoja
 
. Nchini china, Mabinti walikua wakifunga miguu yao ili kupata mguu unaofanania na ua lotus "Lotus Feet" binti mwenye mguu wa namna hii alikua akionekana ni mrembo na mwenye hadhi kubwa. serikali ya china ilipiga marufuku utamaduni huu mwanzoni mwa miaka ya 1900.
 
8. Nchini Thailand na Myanmar, Kuna kabila la kayan ambalo wanwake wao huvaa ringi za shaba shingoni ili kurefusha shingo zao. wanawake wenye ringi nyingi huonekana ndo wazuri zaidi na wenye hadhi kubwa baina yao
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!
 
Uchizi is Inevitable
 
Hawaozi?
 
Angalizo msinidai picha sina ila

Sikumbuki vizuri ni nchi gani huko West Africa mabinti wakivunja ungo hutakiwa kuingiliwa kimwili na wajomba zao ili kukamilisha mila
 
la tomatina unatikiwa udundwe nayo na uvutishwe unga wa nge pengine akili itakukaa vema. Umeambiwa nenda VETA ukapate ufundi ujiajiri. povu linakutoka
 
hivi waziri mkuu ana degree kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…