Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,423
Reaction score
3,297
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara.

1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni mapito ya barabara kutoka Arusha to Mara na barabara ya Arusha To Maswa.

2. BABATI. Ni mji unaokua kwa haraka sababu kuu ni Makao makuu ya mkoa wa Manyara pia huzungukwa na wilaya Za Kondoa, Hanang na mbulu zinazoitegemea kiuchumi, pia inachagizwa na uwepo wa karibu wa majiji ya Dodoma na Arusha ukiachilia mbali barabara ya Moshi kuelelea Singida, Tabora na Kanda ya Ziwa.

3. SAME. Mji huu unakuwa kwa kasi kutokana na idadi kubwa ya watu ndani ya wilaya hii kupelekea kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi na pia kutokana na umbali wa Miji mikubwa kutokuwa karibu yaani Tanga jiji na Manispaa ya moshi, hivyo Same hubeba mahitaji ya maeneo jirani mfano Lushoto, Mwanga na Simanjiro.

4. HIMO. Huu ni mji ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini, Himo imeibeba njia panda ambapo kuna mizani kubwa zinazohudumia barabara inayoelekea Arusha To Dar, Tanga na Kuelekea Kenya katika bandari ya Mombasa. Eneo hili linakua zaidi kibiashara sabubu kuu ikiwa n uwingi wa watu katika wilaya hii kubwa katika mkoa wa kilimanjaro hivyo mahitaji muhimu huanzia na kupatikana hapa, pia soko kubwa la mahindi na nafaka nyingine lipo Himo.

5.MKINGA .. Wilaya mpya mkoani Tanga inayohitaji uwekezaji mkubwa hivyo kuibua fursa nyingi kwa wanaohitaji kuanza biashara mpya.

Wilaya nyingine nyingi kwa kaskazini mwendo wake sio mkubwa kimaendeleo kama hizo tajwa hapo. Ni maoni binafsi sio ya serikali.
 
huu uzi ntaurudia tena

Ila binafsi naona Babati ndio ilitakiwa kuwa namba moja maana inakuwa haraka sana tofauti na Karatu kwa mtazamo wangu.
 
Nakubaliana na ww ila hapo kwenye mwanga kuitegemea same kwenye mahitaji mhh ni chai japo sikupingi wenye maendeleo na ukuaji wa mji wa same
 
3. SAME. Mji huu unakuwa kwa kasi kutokana na idadi kubwa ya watu ndani ya wilaya hii kupelekea kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi na pia kutokana na umbali wa Miji mikubwa kutokuwa karibu yaani Tanga jiji na Manispaa ya moshi, hivyo Same hubeba mahitaji ya maeneo jirani mfano Lushoto, Mwanga na Simanjiro.
Hapa ni uongo hii wilaya imedumazwa na wana same wenyewe, mfano Cleopa Msuya alikimbilia kuiendeleza Mwanga kwa kumwaga lami hadi kijijini kwake na kuacha kupigania wilaya at large! Wengine ni kina Kilango na Magembe ......ni watu wamekqq madarakani lkn wameshindwa kulisimakisha.

So hakuna wakati hapa mahali patasimama tena, tuwaachie wengine wanaochipua!!
 
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara.

1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni mapito ya barabara kutoka Arusha to Mara na barabara ya Arusha To Maswa.

2. BABATI. Ni mji unaokua kwa haraka sababu kuu ni Makao makuu ya mkoa wa Manyara pia huzungukwa na wilaya Za Kondoa, Hanang na mbulu zinazoitegemea kiuchumi, pia inachagizwa na uwepo wa karibu wa majiji ya Dodoma na Arusha ukiachilia mbali barabara ya Moshi kuelelea Singida, Tabora na Kanda ya Ziwa.

3. SAME. Mji huu unakuwa kwa kasi kutokana na idadi kubwa ya watu ndani ya wilaya hii kupelekea kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi na pia kutokana na umbali wa Miji mikubwa kutokuwa karibu yaani Tanga jiji na Manispaa ya moshi, hivyo Same hubeba mahitaji ya maeneo jirani mfano Lushoto, Mwanga na Simanjiro.

4. HIMO. Huu ni mji ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini, Himo imeibeba njia panda ambapo kuna mizani kubwa zinazohudumia barabara inayoelekea Arusha To Dar, Tanga na Kuelekea Kenya katika bandari ya Mombasa. Eneo hili linakua zaidi kibiashara sabubu kuu ikiwa n uwingi wa watu katika wilaya hii kubwa katika mkoa wa kilimanjaro hivyo mahitaji muhimu huanzia na kupatikana hapa, pia soko kubwa la mahindi na nafaka nyingine lipo Himo.

5.MKINGA .. Wilaya mpya mkoani Tanga inayohitaji uwekezaji mkubwa hivyo kuibua fursa nyingi kwa wanaohitaji kuanza biashara mpya.

Wilaya nyingine nyingi kwa kaskazini mwendo wake sio mkubwa kimaendeleo kama hizo tajwa hapo. Ni maoni binafsi sio ya serikali.
Karatu vumbi linatimka namna ile inakua nini? Watu wake kazi kuongea kikabila tu mitaani pasi kujali kama Kuna watu wa makabila mengine, Karatu Haina lolote, kwanza mapato yanaanzia kuingia mkoani Arusha Kisha wilaya ya Ngorongoro, pale Karatu wanakutana na vihela vya madereva tours wanahonga wale wadada wasiochagua wanaume, yaani huo mji nimekaa miaka mitatu hakuna mtu atanidanganya, pa kishenzi na hapana lolote la maana
 
Baki kwenu kama ni pakishenzi na pia huwapangia watu kuongea kikabila kama wewe ni mzamiaji je umewahi kuongea kiswahili wakakwambia hawataki kuongea?
 
Mara ya mwisho kwenda ni lini mkuu maana mm nina miaka karbu minne sijafika huko
Mwaka jana miezi ya April Mkuu, nilidanya ziara ya kuuzunguka mkoa mzima wa Manyara lengo lilikuwa kuangalia fursa binafsi nikaona Babati mjini panakuja kwa kasi sana.

Naweza kusema baada ya muda mfupi ujao patabadilika sana.
 
Ahaa vp mkuu wew mwenyeji wa mkoa gani?
 
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara.

1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni mapito ya barabara kutoka Arusha to Mara na barabara ya Arusha To Maswa.

2. BABATI. Ni mji unaokua kwa haraka sababu kuu ni Makao makuu ya mkoa wa Manyara pia huzungukwa na wilaya Za Kondoa, Hanang na mbulu zinazoitegemea kiuchumi, pia inachagizwa na uwepo wa karibu wa majiji ya Dodoma na Arusha ukiachilia mbali barabara ya Moshi kuelelea Singida, Tabora na Kanda ya Ziwa.

3. SAME. Mji huu unakuwa kwa kasi kutokana na idadi kubwa ya watu ndani ya wilaya hii kupelekea kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi na pia kutokana na umbali wa Miji mikubwa kutokuwa karibu yaani Tanga jiji na Manispaa ya moshi, hivyo Same hubeba mahitaji ya maeneo jirani mfano Lushoto, Mwanga na Simanjiro.

4. HIMO. Huu ni mji ndani ya Wilaya ya Moshi vijijini, Himo imeibeba njia panda ambapo kuna mizani kubwa zinazohudumia barabara inayoelekea Arusha To Dar, Tanga na Kuelekea Kenya katika bandari ya Mombasa. Eneo hili linakua zaidi kibiashara sabubu kuu ikiwa n uwingi wa watu katika wilaya hii kubwa katika mkoa wa kilimanjaro hivyo mahitaji muhimu huanzia na kupatikana hapa, pia soko kubwa la mahindi na nafaka nyingine lipo Himo.

5.MKINGA .. Wilaya mpya mkoani Tanga inayohitaji uwekezaji mkubwa hivyo kuibua fursa nyingi kwa wanaohitaji kuanza biashara mpya.

Wilaya nyingine nyingi kwa kaskazini mwendo wake sio mkubwa kimaendeleo kama hizo tajwa hapo. Ni maoni binafsi sio ya serikali.
Same sikubaliani na wewe.
 
Himo miaka yote ni pakawaida amna cha kenya wala nini! Hapo labda babati tu. Ila umesahau sehemu kama magugu na kateshi sana sana magugu panajengeka sana.

Kiashiria kikubwa cha kujua mahali pana kuwa kwa kasi ni ujenzi endelevu......

Ila wakuu mji wa arusha pembezoni panakuwa kila siku yaani kila leo...

Nitakomaa kaskazini lakini dodoma hunipeleki wala shinyanga wala kahama. Singida ndiyo sitaki kupasikia....
 
Ni kweli ila karatu ione tu hivyo ila ina mzunguko mkubwa sababu ya camps na hotel nyingi za kitalii
 
Himo miaka yote ni pakawaida amna cha kenya wala nini! Hapo labda babati tu. Ila umesahau sehemu kama magugu na kateshi sana sana magugu panajengeka sana.

Kiashiria kikubwa cha kujua mahali pana kuwa kwa kasi ni ujenzi endelevu......

Ila wakuu mji wa arusha pembezoni panakuwa kila siku yaani kila leo...

Nitakomaa kaskazini lakini dodoma hunipeleki wala shinyanga wala kahama. Singida ndiyo sitaki kupasikia....
Himo inajumuisha njiapanda mpaka makuyuni au unazungumzia old Himo?
 
Nakubaliana na ww ila hapo kwenye mwanga kuitegemea same kwenye mahitaji mhh ni chai japo sikupingi wenye maendeleo na ukuaji wa mji wa same
Ni uongo kabisa coz Mwanga to himo na Mwanga to same

Mwanga to himo ni karibu zaidi

Kingine kusema wilaya ya lushoto inategemea same uongo mkubwa

Yan mtu wa lushoto aache kwenda korogwe aende same?

Akafanye research upya
 
Huwezi kuelewa kama hujawahi kuishi huko...Mwanga Huwa wanapata bidhaa nyingi kutoka Same mfano ni huduma ya vyakula na Afya....kumbuka pia Same Inailisha Wilaya ya Simanjiro kupitiamji mdogo wa Hedaru.
 
Back
Top Bottom