Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

Zilikuwa ,ila kwasasa siyo....
Tanga haipo ukanda wa Kaskazini....

..kuna muingiliano mkubwa wa kijamii, na kiuchumi, kati ya Tanga na wilaya za Same na Mwanga mpaka leo hii. Pia wakazi wa mikoa ya kaskazini wakati mwingine hutumia bandari ya Tanga kutoa na kuingiza mizigo. Tanga ni kaskazini.
 
Ila bado Tanga si Ukanda wa Kaskazini....
Dodoma ina muingiliano mkubwa na Arusha hadi raia wengi wa Arusha ,wana asili ya Dodoma.......So Dom nayo iwe Kanda ya Kaskaini...?
 
..kuna wenyeji wa Tanga na Kilimanjaro wanaoingiliana kwa lugha, na tamaduni. Wilaya za Same, na Mwanga, ndio kiunganishi cha Tanga na ukanda wa Kaskazini. Hata maeneo ya Taveta, na Ukambani, kwa upande wa Kenya, wana utamaduni kama wilaya za Same na Mwanga.
 
Karatu vumbi linatimka namna ile inakua nini? Watu wake kazi kuongea kikabila tu mitaani pasi kujali kama Kuna watu wa makabila mengine, Karatu Haina lolote, kwanza mapato yanaanzia kuingia mkoani Arusha Kisha wilaya ya Ngorongoro, pale Karatu wanakutana na vihela vya madereva tours wanahonga wale wadada wasiochagua wanaume, yaani huo mji nimekaa miaka mitatu hakuna mtu atanidanganya, pa kishenzi na hapana lolote la maana
Kama ulienda kudanga ingekuwa ngumu kutoboa kwenye ule ushindani mkali wa wale watoto wa kimbulu. Wewe nenda huko Bariadi utakula sana vichwa vya wasukuma kwenye hiyo kazi yako haramu.
 
Karatu vumbi linatimka namna ile inakua nini? Watu wake kazi kuongea kikabila tu mitaani pasi kujali kama Kuna watu wa makabila mengine, Karatu Haina lolote, kwanza mapato yanaanzia kuingia mkoani Arusha Kisha wilaya ya Ngorongoro, pale Karatu wanakutana na vihela vya madereva tours wanahonga wale wadada wasiochagua wanaume, yaani huo mji nimekaa miaka mitatu hakuna mtu atanidanganya, pa kishenzi na hapana lolote la maana
Kwakweli, bora angesema Longido
 
..kuna wenyeji wa Tanga na Kilimanjaro wanaoingiliana kwa lugha, na tamaduni. Wilaya za Same, na Mwanga, ndio kiunganishi cha Tanga na ukanda wa Kaskazini. Hata maeneo ya Taveta, na Ukambani, kwa upande wa Kenya, wana utamaduni kama wilaya za Same na Mwanga.
Lakini Tanga ni ipo Ukanda wa Pwani....
Tanga na Mkoa wa Pwani wana muingiliano mkubwa sana tena sana....Nenda
  • Pangani na Chalinze ukaone watu walivyoingiliana, hadi rudi za daldala kwao zipo kama kawaida
  • Handeni na Chalinze nenda ukaone makabila ya Wadoe na Wakwere walivyoingiliana,,,Maeneo kama Mkata na Miono, utaeema yapo mkoa mmoja.
  • Kilindi na Wilaya ya Gairo kulivyokuwa na muingiliano
Arusha na Manyara vs Dodoma
  • Arusha ina Warangi wengi utasema Kondoa,,na na ndiyo kabisa la 4 kwa wingi mkoani Arusha....
  • Babati Luna warangi wa kutosha, tena Warangi na muingiliano mkubwa na watu Babati na Arusha kuliko na wenzao wa Dodoma.
  • Ila still Dodoma ni Kanda ya kati
 
..vipi jamii za Wazigua, Wabondei, Wasambaa, na Wapare?
 
Unachokisema hapo ni kipo zaidi Pwani na Tanga kuliko Tanga na Kilimanjaro, coz Wapare hawafanani mila na hao wengine....

TANGA NI PWANI
  • Mila za Jando na Unyago
  • Mila za Ngoma
  • Dini ya Uislamu
  • Shughuli za Kilimo na Uvuvi
  • Muingiliano wa lugha
  • Mapishi
  • Ukanda mzima ulikuwa chini Utawala mmoja kabla ya uhuru....
 
Yupo yule anayesema Tanga ipo Kaskazini kwa maana ya muingiliano na mafungamano ya masuala ya kijamii.

Na yupo yule anayesema Tanga ipo Pwani kwa kuzingatia mipaka ya kiutawala.
 
Unachokisema hapo ni kipo zaidi Pwani na Tanga kuliko Tanga na Kilimanjaro, coz Wapare hawafanani mila na hao wengine....

TANGA NI PWANI
  • Mila za Jando na Unyago
  • Mila za Ngoma
  • Dini ya Uislamu
  • Shughuli za Kilimo na Uvuvi
  • Muingiliano wa lugha
  • Mapishi
  • Ukanda mzima ulikuwa chini Utawala mmoja kabla ya uhuru....

..basi tukubaliane kwamba Tanga ni Pwani, na Tanga ni Kaskazini.
 
Karatu vumbi linatimka namna ile inakua nini? Watu wake kazi kuongea kikabila tu mitaani pasi kujali kama Kuna watu wa makabila mengine, Karatu Haina lolote, kwanza mapato yanaanzia kuingia mkoani Arusha Kisha wilaya ya Ngorongoro, pale Karatu wanakutana na vihela vya madereva tours wanahonga wale wadada wasiochagua wanaume, yaani huo mji nimekaa miaka mitatu hakuna mtu atanidanganya, pa kishenzi na hapana lolote la maana
Hayo mengine sijui ila kuhusu swala la vumbi ni kweli mkuu😂😂🙌🏽🙌🏽
 
Back
Top Bottom