Zifahamu wilaya 5 za kanda ya kaskazini zinazokua kibiashara

Magugu ndio kama lango la kuingia Babati Mjini ukitokea Arusha Mkuu
 
Mwaka jana miezi ya April Mkuu, nilidanya ziara ya kuuzunguka mkoa mzima wa Manyara lengo lilikuwa kuangalia fursa binafsi nikaona Babati mjini panakuja kwa kasi sana.

Naweza kusema baada ya muda mfupi ujao patabadilika sana.
Ni kweli..
 
Mkuu mbona una jazba kwani kuna kosa gani kuongea kikabila??
Kuna sehem hawaongei kikabila we are proud of our culture. Acha majungu hayasaidiii karatu imechangamka office za mamlaka ngorongoro iko karatu na hotels nyingi tu. Hata bei ya plot iko juu achq kukatisha watu tamaa kwa majungu yako na roho ya kwanini (wivu wa kike)
 
So what?
 
Samahani, nje ya mada...Kwani mkoa wa Tanga ni upo ukanda wa Kaskazini...?
 
Tanga si mkoa wa ukanda wa Pwani ambapo ipo na Moro,Pwani na Dar,,jamani ama

..wilaya za Same na Mwanga wakati wa ukoloni, kabla mikoa haijaanzishwa, zilikuwa sehemu ya Jimbo la Tanga / Tanga Province.
 
..wilaya za Same na Mwanga wakati wa ukoloni, kabla mikoa haijaanzishwa, zilikuwa sehemu ya Jimbo la Tanga / Tanga Province.
Zilikuwa ,ila kwasasa siyo....
Tanga haipo ukanda wa Kaskazini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…