Zifuatazo ni nchi zilizokubuhu katika unywaji wa pombe Afrika; angalia nafasi ya Tanzania, East African Community yatia fora

Sasa hawa wanywaji wanaojifanya wanaamka nazo jumatatu...kwamba wanakula bata weekend wakituonesha mavinywaji, kumbe hata hapo DRC wamewapiga gap kama ardhi na mbingu?

Tunaweza nini sasa? Watu wako vitani tangu sijazaliwa, wanapiga kamnyweso kuliko wenye uhuru miaka 60 bila mapigano.

Kuanzia leo, muache kuposti machupa yenu mkiwa bar huko!
 
An Angalau Tanzania tumepata cha kujivunia. Tupo top 7. Serikali ya SSH OYEEEE
 
ILE HAIKUA POMBE KWANI WAMEANDIKA POMBE AU KILEO PALE.... UNAELEWA NINI MAANA YA DIVAI KWA UELEWA WAKO??

AU MWENZETU KILA DIVAI NI POMBE
Kwahiyo Divai ni nini!? Na ujue zama zile pombe haikuwa haramu ila ulevi kupitiliza ndo ulikatazwa.
 
Utasikia kiongozi chawa

"Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya 6 chini ya SAMIA SULUHU tanzania ipo nafasi ya 7 kwa unywaji wa bia, hii inaonesha tanzania ni nchi ya amani, na vipato vizuri ndio maana watu wanakunywa kusherehekea."

😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…