Zijue ABC na historia fupi ya 'Rastafarianism'

Zijue ABC na historia fupi ya 'Rastafarianism'

HIS IMPERIAL MAJESTY EMPEROR HAILE SELASSIE I THE FIRST

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA

1. Iwapo imani duniani kote ingekua kama hii hakika kusingekua na mauaji,dhuluma,ubinafsi wala tusingesikia habari za All Shaabab na IS.

2. Nyama nyekundu hua ina kitu kama nyongo hivi nyingine,husababisha kitu kama mitetemo,unapomchinja mnyama ile hasira na maumivu huamsha hiyo nyongo sana na hata ukishamuua huyo mnyama na kumchuna bado unaweza ona kwenye nyama zake kuna mitetemo fulani hupita.hiyo nyama unapoipika na kuila ikiingia ndani ya mwili wa binadamu mitetemo ile huamka upya,mfano utasikia kuna vitu vina vibrate kwenye mwili wako na hiyo ndo hua mpaka ndani ya mishipa na ubongo na inapoamka humfanya mtu akafanya lolote,hasira/akatoa matusi/akapigana na hata akaua.hiyo ndo sababu ya Rastafari kutokula nyama.

3. Bangi ni sehemu ya ibada ya kumfanya mtu awe katika uzingativu mkuu.ni kama Roho Mtaakatifu au mtu mwenye kufanya meditation japo si kweli kwamba kila Rasta anavuta bangi no.
 
Kuna fununu kua ata Mwl.alichukia urasta
Mwalimu hakuchukia Urasta na hata mmoja ya wakwe zake na Mtu wa karibu pale Nyerere Foundation alikua Rasta;kama uliangalia msiba wa Nyerere kulikua na Dread mmoja alikua mstari wa mbele!Aliwapa kipandw kikubwa cha ardhi ili walime
 
Ila wengi ni WACHAFU
Siyo wachafu.ni kwa sababu ya asili.labda umkute tu mtu mchafu yeye kama yeye,unajua rasta mala nyingi hifanya kazi za asili hasa za shamba au sanaa,kazi hizo akiwa nazo busy utamkuta yuko mchafumchafu japo naamini uchafu ni mtu mwenyewe
 
Hapana mkuu. Marastafari wengu ni wachafu wa mwili, na mavazi!

Si kwa hawa walipo Afrika tu bali hata wa kule Carribians. Nadhaniule utamaduni wa kujiona ni waasili na kwamba wanaundugu na mazingira halisi umeawaathiri sana.

Unaweza ukawa na ndevu, lakini ukaziwrka katika hali ya usafi pia radta unaweza ukazitunza uzuri kabisa. Ila hawa hawafanyi haya.

Ukitaka kuona haya angalia hata nyimbo za raggie uwaone wengi ni wachafu!
 
Tungeongea ukiwa unanitazama na mimi hapa tungeelewana kua Rasta na uchafu ni mtu mwenyewe tu kujilazimisha au kua busy na kazi
I am a Rastaman,it's my way of life..
 
jamaa ni watu wa amani sana, namkumbuka rasta flani hata akiwa amechukia vp? ukimwambia peace n love jamaa anatulia kabisa.

sikuwahi waelewa hawa jamaa leo umenifanya kuwaelewa zaidi. shukrani sana
 
Ngumu kuwaelewa hawa watu!

Ni wema sana na wapole sana muda wote wanakua wapenda amani

Huwa wanaridhika na hali zao ziwe za furaha au mateso wao huridhika tu,cha ajabu sasa akipata buku ya kula na akakukuta damu yake hujala na huna hrla ya kula anakupa ile buku kisha anaenda kutafuta hela nyingine ale!

Utachoka zaidi pale anapokuwa na tough life halafu uso wake kaufunika na tabasamu muruwaa!

Kuna mchizi mmoja rasta tumesoma nae jamaa ni mbavu ila mpole na mtaratibu sana,sasa pale shuleni kuna mbabe mkuu mbavu haswa,wana tukasema tuwaandalie pambano hawa! Tukawapanga tukaingia porini pambano likaanza mwisho wa siku Ras akapigwa,jioni yake mshkaji alieshinda akitegemea bifu cha ajabu mshkaji alikua peace kinyama!!! Peace mbele kwa mbele kama hakuna kitu vile!

Mwisho kuna mavuta bange mengine mavibaka yanawaharibia image True Rastafari yanaboa haya mambwa!
 
Back
Top Bottom