Zijue aina nne (4) za michepuko

Zijue aina nne (4) za michepuko

Mchepuko wako ndia njia kuu ya mwenzako,,hakuna cha lami wala vumbi.
 
Nimejitahid kuacha vumbi ila dah ni ngumu nina vumbi ila ina changarawe.
 
mmmmhhhh! kuna vumbi zinawaona madereva vilaza kweli.
Madereva wenye akili huendesha kwa umakini.
Mchepuko lami dereva ukienda speed sana unapata ajali.
Njia kuu muda mwingine imejaa foleni, dereva ukiwa kilaza utachonga viazi.
Si afadhali flight ???
 
Wadau, kuna aina kuu tatu za mchepuko.

1. MCHEPUKO LAMI

Huu mchepuko hauna shida yoyote(hategemei kitu chochote kutoka kwako) sana sana yeye ndo atakuwa anakusaidia. Utaupenda mchepuko huu!

2. MCHEPUKO KOKOTO.

Mchepuko huu unasumbua sn na maswali km "upo wapi?", "Unafanya nn?", "Utakuja saa ngapi?", "Leo zamu yangu lazima uje na km huji nakufuata mbele ya mke" n.k.

3. MCHEPUKO VUMBI

Dah! Mchepuko huu ni noma
Mchepuko unakutegemea kwa 90% kwa kila kitu.

Mchepuko unakuchafua kweli kweli, unakuchuna kweli kweli. Mchepuko huu mpaka wife atajua coz huduma lazima zipungue.

Ongezea sifa za michepuko hapo juu au ongeza aina za michepuko unayoijua
Tafakari upo katika mchepuko gani?
Acha michepuko weweee!
 
naona karibia michepuko yote ime-base kwenye road transport.. lol

sijui watu wa air hawachepukagi?

Nahisi MH370 ilipotea sababu ilijaa michepuko tupu! kila abiria anataka kwenda inverse na safari! lol..
 
Mchepuko namba 1 huo lazima itakuwa mchepuko square...kila mtu ana wake...

Hawezi kuwa na tabia za namba 2 kwani ukimwaga ugali na yeye anamwaga mboga...
 
Back
Top Bottom