Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unachuna mpaka ngozi siyo?
Itabidi nipige picha hii comment....
Maana sijawahi amkiwa toka nijiunge JF
marahaba
Itabidi nipige picha hii comment....
Maana sijawahi amkiwa toka nijiunge JF
marahaba
Kitu gani...embu nishtue...nani mwizi huyo?
babe soon ntaomba pasword ya pm.....sipendi ku risk life hivi
niache kazi halafu uje utaniane na kina kaizer humu....too risk
nahisi unaibiwa kitu.
Kitu gani...embu nishtue...nani mwizi huyo?
babe soon ntaomba pasword ya pm.....sipendi ku risk life hivi
niache kazi halafu uje utaniane na kina kaizer humu....too risk
JF password tu...
Au kuna ombi jingine?
Chochote utakacho wewe sema tu 'my Boss'...
Kama nimekupa a password to my heart nishindwe ya JF...?
naona karibia michepuko yote ime-base kwenye road transport.. lol
sijui watu wa air hawachepukagi?
Nahisi MH370 ilipotea sababu ilijaa michepuko tupu! kila abiria anataka kwenda inverse na safari! lol..
Just know kuwa nyumba kubwa ni shemeji yako....watch the lines....
Nimeachana na nyumba ndogo zote now nipo kwa nyumba kubwa where I should be...
Hahaa ningeziCC hapa sema.namheshimu sana nyumba kubwa.and if thats the place u have landed ngoja tuone labda utatulia kabisa apo
Na kwa heshima between me and yu hata my ex nyumba ndogo zote hupaswi kutolea udenda now...