Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Chuma ulete ina limitations... Inakupa mahitaji muhimu tuu. Pesa yake huwezi hata kununua nguo nzuri sana sana utaishia malonya kwakuwa ukichuma sana kwa siku ni mwekundu na kuipata tena hiyo inaweza kukuchukua mpaka siku 14
[emoji3][emoji3][emoji3]duhh
 
Alistuka ukiwa umebaki mwaka mmoja. Ikabidi atumie ile pesa aliyoipata kumtafuata fundi zaidi ili ambakishe hai.
Alifanikiwa kumpata na alifanikiwa kuepuka kifo.

Ila ndio hivyo alifirisika akabaki ombaomba tu, kama kwanza.
Duhhh
 
Kah😀😀
 
dah ila wa tz iv kwanin pesa akiwa nazo mzungu muarab muhind mchaga hazina tatzo ila akiwa nazo msukuma mnyamwez muha au kabira zngine bas ni uchaw tu watu wanavofkir...izo ni slave mentality tu...mbona ao waganga wanaish maisha mabov sn tu kuliko ht watej [emoji34][emoji34]tuache slogan za kale
 
Duh
 
Wanazo ni wale wa kaskazini Wanakuwaga na watoto matahira kabisa kama wahindi
Kayngay wewe. Na nyie kuwapiga miti mama zenu, dada zenu na mabinti zenu. Halafu mnakufa maskini mkibaki tu kung'aka Yesu siyo Mungu.
 
Uchawi wa nyoka msumbiji unapewa nyoka unarudi nae ila anakaa km mfuko tu yaani uvunguni kwa kitanda,ukitaka kumtuma unachukua dawa unamwagia then anaenda kuleta pesa akiondoka Sasa huko anakaa ht siku tatu au wiki masharti siku anarudi Kuna ishara unapewa unatakiwa uandae uji wa sembe uweke kwenye chungu afu ukae mlangoni mwa chumbani kwako anakokaa uchi wa mnyama na uwe peke Yako ndani,akifkia anapita katikati ya miguu Yako anaenda kunywa uji Woote afu anaanza kutapika pesa zooote ,ikisha anarudi kua mfuko
 
Vipi akifa Huyo nyoka na wewe unakufa au?
 
Inatisha pesa ngumu asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…