Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapatikana wap hiiKunabta kupeleka shahawa kwa mganga ila uhakikishe hauna mtoto. Hutakuwa na mtoto maishani, pesa ndio watoto wako.
Inabid tumpeleke wiki Moja huko akajionee mwenyewe....Kuna chunusi....mnyonya damu...Kwa kizungu ni electric eel.....samaki anae zalisha nishat ya umeme ndani ya maji ..
Waafrika tunaita chunusi mnyonya damu.....
See what's the African's see & views things....sisi still Tupo nyuma ya muda....
R.ip my Uncle charz wew ulikataaga uchawi ulikuaga mtu mzur sana ever....
Ulichukuliwa msukule huko huko misungwi
Mpk madogo wa jiran waliwai kutamka kua baba enu yupo kwetu kwenye michezo ya utotoni.......
Wanapatikna wap hawa toeni na locationMkuu hapa umeuma nje ,inategemea kopera ni WA mbinu gani ,wapo aina saba Ila tatu ndo muhimu Sana :
1: Kuna wakutengezwa na miti shamba
2: wa talasimu
3: huyu unamtengeza kichawi kutumia duara
Wa pili na tatu wanaiba siyo chini ya millioni hamsini kwa wiki .
Ila utafuga mifugo wanakunywa damu hatari Sana
Na ukichoka naye hasa watatu unamtupa kwenye maji yenye kina kirefu na Mali unabaki nayo bila bughudha
Usiombe ukutane nao mdogo angu.....mm naomba Kila siku iwe sikukuu KWANGU 😊😊🤓🤓Mm nataka kuona uchawi kaka
later on atafufuka baada ya kuoza wiki zimaHuyo aliyeoza ananufaika vipi na hizo hela
Bulldozer sio mtu wa shetaniNataka kuwa prophet mwenyekonekisheni na buludoz anipe siri
N.B sina wa kumtoa
Lakini hujajibu swali langu kuwa unajuaje hii ni sayansi na huu ni uchawi?Mimi nimesema Elon munsk anatumia sayansi na tunaona kabisa ni sayansi.
Sijsema kwamba uchawi ni sayansi
Mkuu mkinipeleka mbona hata kwa sumu naweza kuuawa tu, sumu si uchawi, ni chemistry.Kiranga Huwa aamini uchawi....Mwenye ndugu huko sumbawanga au kitunda huko mpakan mwa tabora na katavi....tumpeleke wiki Moja ntagaramia accomodations 😊🤓🌝😇
Ili iwe kama case study Kwa wote Wasio amini uchawi...
Sayansi inasomwa uchwai inasomwa wapi? Unaweza kuongeza ujuzi kupitia vitabu nkLakini hujajibu swali langu kuwa unajuaje hii ni sayansi na huu ni uchawi?
Unajuaje unapoamini huu ni uchawi, ni uchawi kweli na hujachezewa changa la macho tu kuamini ni uchawi wakati si uchawi, ni jambo linaloelezeka kisayansi tu, au hata kama halielezeki kwa sababu dunia nzima hatujalielewa, bado ni jambo la sayansi tu lakini hatujalielewa?
Hujajibu swali hili.
Nimekwambia mtu asiyejua mchezo wa karata tatu anaweza kuona ni uchawi, wakati ni trick tu ambayo inaelezeka kisayansi.
Sasa, na wewe mabaye unafikiri kitu fulani ni uchawi, unajuaje ni uchawi kweli na si jambo lingine tofauti na uchawi ambalo hujalielewa vizuri tu?
Hujajibu swali hili.
Hujaeleza hata uchawi ni nini, umeishia kujibabatiza tu.Sayansi inasomwa uchwai inasomwa wapi? Unaweza kuongeza ujuzi kupitia vitabu nk
Sasa challenge ulitoa ya nn mtu aanze kukuroga hakujui humjui bila chemistry yytMkuu mkinipeleka mbona hata kwa sumu naweza kuuawa tu, sumu si uchawi, ni chemistry.
Mimi nataka waniroge hapahapa JF, wanipige kipapai nishindwe ku type wanikate ngebe zote.
Nilishatoa challenge hii miaka mingi sana imepita na mimi nazidi kudunda tu, hakuna mchawi wala Boko Haram anayeniweza.
Nilitoa challenge watu wanaosema uchawi upo wathibitishe kwa kuniroga, na mpaka leo wameshinda kuniroga, kwa sababu uchawi ni uongo uongo tu.Sasa challenge ulitoa ya nn mtu aanze kukuroga hakujui humjui bila chemistry yyt