nickee canon
Member
- Jan 26, 2023
- 26
- 45
sijui ata nafanyajeUnachukua hatua gani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui ata nafanyajeUnachukua hatua gani sasa?
Aisee! Na vidosho vyote vile anavyovigonga kila kukicha!Kwamba zuwena anamgegeda mama yake?
Sawaaa chawaaaaBulldozer sio mtu wa shetani
Jamaaa katokea mbali sana usimuone hivyo ohoooho
Soma neno na usal8 sana. Pia funga kwa ajili ya kunyenyekea mbele za Mungu akusaidesijui ata nafanyaje
Usiombe ukutane nao mdogo angu.....mm naomba Kila siku iwe sikukuu KWANGU [emoji4][emoji4][emoji851][emoji851]
Kwaiyo hawa wachungaji wetu wasio na upako hawasomi bible?Soma sana biblia
Wakala wa shetani kazini kutangaza biasharaTembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja[emoji3] neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
[emoji117]Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
[emoji117]Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
[emoji117]Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
[emoji117]Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
[emoji117]Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
[emoji117]Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
[emoji117]Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
[emoji117]Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka[emoji1787][emoji1787].
[emoji117]Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe[emoji3][emoji3] ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.
asantee mkuuSoma neno na usal8 sana. Pia funga kwa ajili ya kunyenyekea mbele za Mungu akusaide
Bro Mimi namjua a to z mwanawaneSawaaa chawaaaa
Mkuu umeconclude vipi kwmba ulaya hawana uchawi!?Hapo ndo utajua ujinga wa imani za uchawi.
Uchawi ungekuwa upo kweli, Waafrika tusingetawaliwa kama tunavyotawaliwa.
Maana sisi tumeshikilia sana imani za uchawi.
Wakati wenzetu wameshikilia sayansi, teknolojia na uchumi.
Hiyo habari ya left and right brain mbona ishakuwa debunked na neurologists, wewe mbona unaleta pseudoscience hapa?Mkuu umeconclude vipi kwmba ulaya hawana uchawi!?
Esoteric knowledge unazijua!?
Umeulizwa swali bahati nini na unaiprove vipi hujajibu.
Unaelewa kazi za left na right brain wewe moron rational thinker!?

Very poor,Hiyo habari ya left and right brain mbona ishakuwa debunked na neurologists, wewe mbona unaleta pseudoscience hapa?
Wacha pseudocsience zako wewe mburula limbukeni bwege mtozeni
Zumbukuku wa buku, ulimwengu uko huku.
Ngumbaru ngabu usiyejua aya wala kitabu!
![]()
Are There Really Right-Brained and Left-Brained People? | Britannica
Is it true that logical people are left-brained and creative people are right-brained?www.britannica.com
Are There Really Right-Brained and Left-Brained People?
Written and fact-checked by
The Editors of Encyclopaedia Britannica
© Andrea Danti/Fotolia
Are you a logical, precise thinker, or would you say that you’re more free-spirited and artistic? If you’re the former, somebody’s probably told you at some point that you’re a left-brained person, and if you’re the latter, right-brained. The notion that the right half of the brain is the creative half and the left half is the analytical half and that our individual traits are determined by which half is dominant is widespread in popular psychology. There’s even a small industry devoted to this idea. There are self-help books, personality tests, therapies, and educational materials that claim to help you optimize the functions of the stronger half of your brain, get in touch with the weaker half, or even make the two halves stop their (supposedly) incessant battling inside your skull so you can finally get some peace and quiet.
The idea that there are right-brained and left-brained people is a myth. Although we all obviously have different personalities and talents, there’s no reason to believe these differences can be explained by the dominance of one half of the brain over the other half. Recent research using brain imaging technology hasn’t found any evidence of right or left dominance. One of the myth’s fatal flaws is that it relies on vague conceptions of the abilities it purports to explain. Math, for example, requires logical thought and, thus, is generally said to reside in the left brain, far away from all those artsy right-brain abilities. But mathematics is a profoundly creative endeavor in addition to being a logical one. So would a gifted mathematician be a right-brained person or a left-brained person? Likewise, artistic creativity isn’t just unbridled emotion. Many of the greatest works of art are products of rigorous, precise thought.
Like many modern myths, the myth of right-brained and left-brained people is rooted in a bit of real science. We know the right and left sides of the brain actually do specialize in different kinds of tasks, although the real division of labor is much more complex than creativity on the right and logic on the left. Much of our knowledge in this area comes from the study of so-called split brain patients. In the 1940s doctors discovered that by surgically severing the corpus callosum (the bundle of nerve fibers that connects the two hemispheres of the brain) seizures could be reduced in patients with otherwise unmanageable epilepsy. (The procedure is seldom performed today because new drugs and treatments have been developed.) After the operation, the patients had normal intellectual and emotional functioning and seemed to have only mild impairments. More thorough examinations, though, revealed specific disruptions in perception and cognition that illuminated how the two halves of the brain differ from each other and how they cooperate. Generally, the right hemisphere of the brain was found to be more proficient at spatial tasks, while the left side of the brain was found to be the center of language and problem-solving. (Read a detailed summary of this research here.)
If there’s no evidence for the myth of right-brained and left-brained people, why do so many people believe it? Perhaps it just makes intuitive sense that people’s brains would be dominant on one side or the other just as their hands, feet, or eyes are. It may also have something to do with our seemingly unlimited appetite for schemes that allow us to sort ourselves (and our friends) into “types” based on our emotional and intellectual characteristics. Most of these (the Myers-Briggs personality test, for example) have about as much scientific validity as horoscopes, but they exploit a psychological phenomenon known as the Barnum Effect (or sometimes the Forer Effect): When people are offered generic descriptive statements that are presented as individualized descriptions of their own personalities, they are predisposed to accept them as meaningful and true, especially if the statements are positive. (The psychologists who studied this phenomenon gave out fake personality tests and found that people generally rated the bogus feedback as accurate.) The right-brain/left-brain myth works in a similar way. The “insights” that it generates are both generic and flattering. After all, who would reject a description of themselves as “spontaneous and intuitive” or “rational and analytical”? The myth is popular, in the end, because it gives us a “scientific” way to talk about our favorite subject—ourselves.
Mm natak wa punje mkuu naomba niunganishe na awo wagangaTembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja[emoji3] neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
[emoji117]Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
[emoji117]Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
[emoji117]Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
[emoji117]Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
[emoji117]Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
[emoji117]Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
[emoji117]Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
[emoji117]Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka[emoji1787][emoji1787].
[emoji117]Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe[emoji3][emoji3] ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.
Wapi nimesema Ulaya hakuna uchawi?Very poor,
Kwa maelezo yako hakuna left hemisphere na right hemisphere brain!?
Pili umeconclude vipi ulaya hakuna uchawi!?
Tatu bahati in nini!?
Nne uscopy na kupaste vitu mtandaoni elezea kwa maneno yako mwenyewe kama kweli umeelewa, kucopy ni dalili hujaelewa, elezea kama ukiombwa source itaje na iwe trusted source.
Mkuu unasoma literature zisizo na msingi wowoteWapi nimesema Ulaya hakuna uchawi?
Uchawi ni nini?
Unajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi?
Unajuaje unachokiita uchawi ni uchawi kweli na si kitu tu ambacho hukijui wewe lakini si uchawi?
![]()
Debunking the Left-Brain/Right-Brain Myth | |Science of Learning
The JHU Science of Learning Institute is an ambitious, interdisciplinary, Science of Learning Institute to understand learning across its systems and manifestations: from the individual brain cell to our capacity as a species.scienceoflearning.jhu.edu
Debunking the Left-Brain/Right-Brain Myth
Kara Blacker, Science of Learning Institute
12/15/2016
http://scienceoflearning.jhu.edu/assets/photos/left_right_brain.jpg
We all have seen (or taken) left-brained or right-brained quizzes. But is there any scientific evidence for this?
The following blog post is part of the Alliance’s work on the potential impact the science of learning (SOL) can have on the educational experiences of secondary students. It is written by Kara Blacker, Ph.D., a Distinguished Science of Learning Fellow at Johns Hopkins University. Her research focuses on the neural mechanisms of working memory and improving cognition through training.
We all have seen and (maybe taken) those quizzes on Facebook that ask us to answer ten questions to find out if we are left-brained or right-brained. But is there any scientific evidence behind this idea that our personalities, learning styles, or strengths are the result of an unbalanced brain? More importantly, how do these ideas influence educational practices? What happens when teachers buy into these ideas and students internalize these notions about themselves?
WHAT IS THE LEFT-BRAIN/RIGHT-BRAIN MYTH?
The myth is that everyone has a dominant hemisphere (or side) of the brain. Left-brained people are thought to be logical and good with math and language, while right-brained people are thought to be more creative and artistic. Interestingly, this idea originated from some groundbreaking research on “split-brain” patients—patients in whom the left and right sides of their brain were disconnected from one another. This work was the first to show that some brain functions are more “lateralized” or mostly controlled by brain regions on one side of the brain. For example, areas of the brain that are involved in language tend to be on the left, whereas those involved in attention tend to be on the right. But does that mean that any given individual uses or favors one side of his or her brain more than the other?
WHY IS IT WRONG?
While social media quizzes might be fun to do, there is no scientific evidence that individuals use one half of their brain more than the other or that an imbalance in the two sides explains individuality. In fact, it would be really inefficient to use only half of the brain. A group of neuroscientists at the University of Utah had more than 1,000 people undergo brain scans while they were either lying still or reading. While the scientists did find that certain brain functions are more lateralized, they found no evidence of individuals having stronger left- or right-brain networks. Therefore, the left-brain/right-brain idea is considered a “neuromyth.”
HOW DOES THIS NEUROMYTH IMPACT EDUCATION?
While the idea that people are more left-brained or right-brained may seem harmless, there are some real concerns about the existence of this myth in educators and students alike. Educators are increasingly encouraged to attend courses on “brain-based learning.” These courses often illustrate how ingrained these neuromyths have become. For example, some brain-based learning courses encourage educators to identify students as left-brained or right-brained and to adjust their teaching approach for these different learning styles. As a result, many teachers believe that this is a valid, scientifically backed idea. For example, in a sample of 242 teachers, 90 percent agreed with the statement “differences in left-brain right-brain [preference] can help explain individual differences amongst learners.” This is alarming given that this belief may influence the way in which teachers instruct specific students or groups of students and result in unconscious biases about a given student’s academic abilities (e.g., a teacher assumes that a student labeled as a “right-brainer” is not strong in math).
Meanwhile, if students internalize this neuromyth it could impact their sense of self-efficacy— the beliefs and confidence a student has about his or her ability to perform and succeed at an academic task. A body of research has shown that students’ self-efficacy beliefs predict their subsequent ability to succeed at an academic task. During adolescence, in particular, students' self-efficacy begins to be influenced more by experiences in school, such as interactions with peers and educational evaluation. Therefore, if a student is labeled as a “right-brained” person, for example, that could negatively impact his or her beliefs about his or her ability to perform math-related tasks, which in turn could make the student less likely to succeed in math.
BUSTING THE NEUROMYTH
While neuroscience may have a lot to offer educational practices, it is important to remember that the science still is young and developing and it will take time to merge these two fields. In the meantime, educators must take care not to accept myths as science.
Nimekueleza uscopy we mbulula elezea kwa maneno yako kama uko smart unagoogle unapaste ujinga.Wapi nimesema Ulaya hakuna uchawi?
Uchawi ni nini?
Unajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi?
Unajuaje unachokiita uchawi ni uchawi kweli na si kitu tu ambacho hukijui wewe?

Ulichoandika wewe hapa ndicho hakina msingi wowote, ndiyo maana umeshindwa hata kuutaja.Mkuu unasoma literature zisizo na msingi wowote
Alafu mtu anakuja na hoja zake za Google kusema uchawi haupoInabid tumpeleke wiki Moja huko akajionee mwenyewe....Kuna chunusi....mnyonya damu...Kwa kizungu ni electric eel.....samaki anae zalisha nishat ya umeme ndani ya maji ..
Waafrika tunaita chunusi mnyonya damu.....
See what's the African's see & views things....sisi still Tupo nyuma ya muda....
R.ip my Uncle charz wew ulikataaga uchawi ulikuaga mtu mzur sana ever....
Ulichukuliwa msukule huko huko misungwi
Mpk madogo wa jiran waliwai kutamka kua baba enu yupo kwetu kwenye michezo ya utotoni.......