Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
Apostle gani tenaApostle Kuna muujiza huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apostle gani tenaApostle Kuna muujiza huku
Hii noma aiseeKuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
Duuh na mama yake amekubaliHuu nao mwingine kuna jamaa mmoja hivi alimjengea mama ake nyumba kali sana kumbe kwenye iyo nyumba ndio jamaa anaenda kumdinya mama ake mzazi jamaa ana pesa kufuru yani mambo mengi mda mchache
Oky kwaiyo upako upako unapatikana kwa muda fulani huoni kuna janja janjaAlizaliwa 1977 mama yake alikufa alivyokuwa mdogo sana hivyo hakumkuta alimaliza form 4 1996 ila akaamua kumtumikia Mungu hivyo 1997 akawa muumini wa pastor maboya mpaka 2001 ambapo maboya alimtaka akafungue kanisa lake ila alikuwa hana capital maza angu akamsaidia 2001 maana walikuwa wanajuana akaenda moshi kuanzisha kidogo ki huduma chake sema hakikua vizuri kilichukua muda kuwa strong akawa anahuburi sokoni 2007 alioa muajiriwa wa bank bibi yangu alimsaidia kwenye harusi 2008 akapata mtoto wake wa kike wapekee ila kwavile alikuwa hana hela huyo mdada akamuacha wakatalikiana 2010
Kipindi chote hicho bado mshkaji hajapata upako ila 2016 ndo huduma ikawa kubwa enzi za magu akamtupa kawe na alikuwa anamuombea sana janet magufuli alikuwa hata halipi kodi enzi hizo nilivyosikia
Hivyo from 2016 to know huduma yake ikazidi kumea tu ila 2020 unakumbuka kile kisanga chake cha kule moshi ila Mungu alimshikilia tu mkono akamvusha
Na saizi kwa mwaka jana ile huduma yake ya mikoani sadaki inaingia 500m per week ya jpili bado zile za kutumiwa mpesa na huduma zingine zingine
Mwaka mpya pale uwanja wa taifa aliingiza 4B usiku mmoja
Ila jamaa ni mtu wa Mungu kabisa sema katokea jalalani
Mkuuuu haikuwa rahisi
Any more questions ?
Hamna janja Mungu lazima akujaribu na kukupitisha kwenye moto kabla hajakubarikiOky kwaiyo upako upako unapatikana kwa muda fulani huoni kuna janja janja
Inaonekana ww ni mhasibu hapo nitafutie kazi
Aise ni balaa Sasa Kuna vijana wadogo wanaamua kutoa pumbu Moja [emoji3]
HanisiWanafanyiwa operation ama
Kama uchawi upo, ithibati iko wapi?Mkuu kuamini wewe uchawi haupo haufanyi usiwepo that is the construct of your mind(your wish full thinking) have nothing to do with presence of witchcraft.
Na mtu anaposema uchawi upo haimaanishi ni muumini wa ushirikina kwamba anautumia.
Ni mara ngapi watu wanapelekwa hizo hospitali wanaishia kuambiwa watufte njia mbadala kutoka kwa hao wanasayansi matabibu wa hospitali!?Huko ulaya mna uhakika gani hawaamini katika uchawi!!
Nawe unaesema haupo thibitisha kama uchawi haupo sio unaleta hoja za ku google na ndugu yako kirangaKama uchawi upo, ithibati iko wapi?
Kusema/ kudai kuwa uchawi upo, hakuufanyi uwepo kweli.
Njia pekee pekee ya kuonyesha kuwa uchawi upo, ni kuthibitisha.
Mpaka sasa hakuna yeyote yule aliyethibitisha kuwa uchawi upo.
Kilichopo ni maneno tu.
Na kumbuka kuwa, mwenye wajibu wa kuthibitisha kuwa uchawi upo ni yule anayedai kuwa upo.
Kazi kwako sasa. Thibitisha zaidi ya maneno kuwa uchawi upo…
SawasawaSi huyo huyo mwamposa
Mkuu uchawi hauthibitiki kwa kwenda maabara sababu haufuati science hii inayofundishwa njia rahisi ni wewe kushudia huo uchawi ndio utajua upo.Kama uchawi upo, ithibati iko wapi?
Kusema/ kudai kuwa uchawi upo, hakuufanyi uwepo kweli.
Njia pekee pekee ya kuonyesha kuwa uchawi upo, ni kuthibitisha.
Mpaka sasa hakuna yeyote yule aliyethibitisha kuwa uchawi upo.
Kilichopo ni maneno tu.
Na kumbuka kuwa, mwenye wajibu wa kuthibitisha kuwa uchawi upo ni yule anayedai kuwa upo.
Kazi kwako sasa. Thibitisha zaidi ya maneno kuwa uchawi upo…
Wapi naweza kuushuhudia huo uchawi? Nielekeze niende nami nikaushuhudie basi….Mkuu uchawi hauthibitiki kwa kwenda maabara sababu haufuati science hii inayofundishwa njia rahisi ni wewe kushudia huo uchawi ndio utajua upo.
Wengi wanaosema uchawi upo ni kwa kushudia.
Huko ulaya wanafundisha dark magic, occult na esoteric knowledge mbali mbali.
Scope ya science ni narrow kucover maarifa yote ya ulimwengu
Tuma picha yako full body utaushuhudia huko huko ulipo, kama uko Tanzania nenda huko kigoma unauzwa kuanzia miatanoWapi naweza kuushuhudia huo uchawi? Nielekeze niende nami nikaushuhudie basi….
🤣🤣🤣Tuma picha yako full body utaushuhudia huko huko ulipo, kama uko Tanzania nenda huko kigoma unauzwa kuanzia miatano