Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasumbuliwa na hii kitu:🤣🤣🤣
The usual bullshit!
Hakuna uchawi.
Sisumbuliwi na chochote kile.Unasumbuliwa na hii kitu:
Scientism: an exaggerated trust in the efficacy of the methods of natural science applied to all areas of investigation.
Kabla ya kukuthibitishia tukubaliane kwanza science hainauwezo wa kuthibitisha vyote.Sisumbuliwi na chochote kile.
Wewe nithibitishie tu kuwa uchawi upo.
1. Mimi sijadai popote pale kuwa sayansi ina majibu ya kila kitu. Na ndo maana kuna kitu kinaitwa ‘speculative science’.Kabla ya kukuthibitishia tukubaliane kwanza science hainauwezo wa kuthibitisha vyote.
Tukikubaliana hapo nitakuthibitishia kwa misingi inayofuatwa na uchawi na hizo dark power tofauti na hapo sowezi tumia science kuthibitisha uchawi
Rejea post yangu picha tu mkuu full body wala sio mambo mengi1. Mimi sijadai popote pale kuwa sayansi ina majibu ya kila kitu. Na ndo maana kuna kitu kinaitwa ‘speculative science’.
2. Kuna mengi tu katika sayansi ambayo nina mashaka nayo.
3. Hivyo, nakubaliana na wewe kwamba sayansi haina majibu ya kila kitu.
Haya twende kazi. Nithibitishie huo uchawi kuwa upo.
UwiiiTembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja[emoji3] neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
[emoji117]Utajiri wa Shilingi: Hapa unapewa coin inakuwa inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo) hapa utaanza na kafara za kuku mwisho damu itahitajila
[emoji117]Utajiri wa nyoka: Hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
[emoji117]Utajiri wa kafara: Huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova. Au mtu anafunga ofisi au taasisi halafu watumishi ndo wanateketea.
[emoji117]Utajiri wa kidonda: Hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
[emoji117]Utajiri wa kupunguzwa nguvu: Hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi, unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
[emoji117]Misukule: Hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
[emoji117]Utajiri wa punje: Hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
[emoji117]Utajiri wa Chuma ulete: Huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka[emoji1787][emoji1787].
[emoji117]Utajiri wa kafara ya ndugu wa damu unaempenda: Hapa utake utamtoa usitake utamtoa ama ufe wewe[emoji3][emoji3] ibilisi anakuchagulia
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri.
Nawasilisha.
Rejea post yangu picha tu mkuu full body wala sio mambo mengi
Mkuu mtaalam anasema mwenye picha ameshafariki
Muongo wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu mtaalam anasema mwenye picha ameshafariki
Mkuu ngoja niendelee kuishughulikia kama yupo hai ataleta mrejesho.Muongo wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenye picha ni mimi na bado sijafariki!
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣Mkuu ngoja niendelee kuishughulikia kama yupo hai ataleta mrejesho.
Nime trouble shoot naona yawezekana uko nje ya bara letu sasa jiandae tu kupokea mgeni usiku ukiwa umelala na kitakacho kutokea itabidi umsimlie rafki yako vinginevyo atakutambelea kila siku.
Nb: ulale na nguo zote na ufunge milango yote
Staki ni kudhuru mkuu kwa sababu unategemewa.🤣
Paa na ungo.Staki ni kudhuru mkuu kwa sababu unategemewa.
Huko ulaya mkuu tunafikaje kwa njia rahisi!?
Uchawi hauvuki bahariPaa na ungo.
Uchawi haupo!Uchawi hauvuki bahari
Mkuu sasa niko serious nitakuondolea kiungo kimoja na kukurudishia utalipa dola 10000Uchawi haupo!
Umeshindwa kuthibitisha kuwa uchawi upo 🤣
Tarehe nzuri hizi nipe namba nimpe walau 20 akale kiepemmoja alikuwa anakuja ofisini kwangu na kuniomba tufanye biashara kwa kumsaidia ikiwezekana twende wote China(hapa naongelea kijana mdogo yuko below 35). sikumkubalia wala kumkatalia japo kwenye nafsi yangu sikuwa na amani na biashara inawezekana uwoga wangu ndio umaskini wangu lakini nilikuwa nawaza mtu akuchukue toka hapa mpaka China akugharamie kila kitu ukibebeshwa Unga utamlaumu nani?
kadri nilivyomzoea alizidi kuniambia mambo mengi na akasema katika wafanya biashara 100 wanaomtegemea MUNGU labda wawili na muda huo kaja akiwa na chale mbichi akanionyesha na alikuwa na biashara kubwa kwa kweli.
hazikupita siku nyingi sana labda miaka miwili akafirisika kabisa na hapa mjini hayupo kila kitu chake kikapotea na kuuzwa na benki.
Huyu wa pili ni kazi kueleza story yake hapa wengi wanamjua lakini hali ni mbaya sana kwake kwa sasa kuanzia uchumi mpaka afya yake anateseka sana kwa kweli nikikupa namba umtume 40,000/- atakushukuru sana kuzidi baba yako huyu namzungumzia mtu aliyekuwa na wafanyakazi zaidi ya 300 akiwalipa kati ya dola 6000 na kiasi cha chini 200,000/- kwa mwezi.