Mkuu kama unazo kwa PDF hebu zitupie hivyo!! Umefanya vizuri kutukumbusha!!Zijue alama mbalimbali za barabarani na maana yake,zinaweza kuwa msaada kwako kwa namna moja ama nyingine
View attachment 538684View attachment 538685View attachment 538686View attachment 538687View attachment 538688View attachment 538689View attachment 538689View attachment 538690View attachment 538691View attachment 538693View attachment 538694
Unatakiwa uwe na stopping distance ya 8sec kati yako na dereva wa mbele yako......sjui kwa tz but international laws ( 8 sec following distnce)Swali la kwanza mara nyingi utumika pale panapokuwa na matengenezo kwenye barabara.kuna mtu uwa anashika bango la GOupande mmoja na STOP upande wa pili.
Swali la pili sijajua ni mita ngapi nimesahau ila unatakuwa uache umbali wa kutosha.
Swali la tatu MISTARI YA NJANO.pembeni ya barabara inaonyesha mwisho wa mapana ya barabara.
MSTARI MWEUPE WA KATI ULIONYOOKA.unamkataza dereva kulipita gari la mbele yake.
MSTARI MWEUPE WA KATI ULIOACHANA ACHANA humruhusu dereva kulipita gari la mbele yake.
Ni hivyo.kama haujaelewa au kuna mapungufu WATAKUJA WENGINE KUSAHIHISHA.
Dhaaa!! Nomaa aiseee
Jitahidi uzijue.uzuri wa zile alama.ni kwamba sio lazma uzihifadhi.ila ukiiona tu.unajua imemaanisha nini.na ukijua alama za barabarani.utaendesha gari kwa amani kabisa.na hata ukiona ajali unamjua nani mwenye makosa.unabaki unacheka tu na kushangaa.maana madereva wengi na bodaboda hawazijui.na hata watembea kwa miguu pia.Ahsante sana kwa kutukumbusha. Kuna siku nimesimamishwa na trafiki akanikagua kama nazijua alama za barabarani. Alamnusura ile kwangu.
Sent from my SM-T705 using JamiiForums mobile app
Somo zuriGreat job!that is what we need here.