Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

Ahsante sana! Ndio maana wakaekewa mstari mwekundu kichwani! Badi mm mwanzo nikaelewa pale kuna Mashabiki was SIMBA wengi
Humaanisha walemavu wa akili, (Vichaa) madishi yao yameyumba
 
Swali la kwanza mara nyingi utumika pale panapokuwa na matengenezo kwenye barabara.kuna mtu uwa anashika bango la GOupande mmoja na STOP upande wa pili.
Swali la pili sijajua ni mita ngapi nimesahau ila unatakuwa uache umbali wa kutosha.
Swali la tatu MISTARI YA NJANO.pembeni ya barabara inaonyesha mwisho wa mapana ya barabara.
MSTARI MWEUPE WA KATI ULIONYOOKA.unamkataza dereva kulipita gari la mbele yake.
MSTARI MWEUPE WA KATI ULIOACHANA ACHANA humruhusu dereva kulipita gari la mbele yake.
Ni hivyo.kama haujaelewa au kuna mapungufu WATAKUJA WENGINE KUSAHIHISHA.
Road act, imesema umbali kati ya gari na gari huwe reasonable, kwa hiyo ni wewe na umakini wa breki zako, tu. Kama utaona nikisimama mita mbili nyuma yake sita haribu kazi sawa, kama unahisi breki zako hafifu kaaa umbali wa kutosha.

Hiii mistari ipo ya aina kadhaaa.
Kuna mstari unaontengenesha pande za mbili za barabara yaani lane hii na nyingine, huu unakuwa mmoja. Kuna mistari ya dot doti katika maingilio, kuna mstari unao ruhusu ku overtake, kuna mistari pacha miwili inayokataza kati ku overtake sehem hatarishi
 
Nimeona alama ya kichwa cha binadamu afu katikati kimechorwa mstari mwekundu! Alama hii nimeiona maeneo ya Mombo - Korogwe! Ni nini hicho?
hiyo alama huwekwa kwenye makazi ya watu kumaanisha kwamba kuna uwepo wa vichaa/watu wasio na utimamu wa akili,pia zipo alama za vidole na kumaanisha uwepo wa viziwi/bubu
 
Kwenye round about naona madereva wa Automatic wengi hawajui sheria yake,wanaishia kupigwa pasi na kulipa wanalipishwa pia,yani umegongwa wewe na hela unamlipa aliyekugonga......
 
Namba kuuliza swali kuna hizi alama mpya zimekuja. Kuelekeza eneo lina walemavu wakusikia(viziwi) na walemavu wa akili. Lakini hazijawekewa alama ya kivuko cha Waenda kwa miguu.
Sababu ni nini?
 
Kwenye round about naona madereva wa Automatic wengi hawajui sheria yake,wanaishia kupigwa pasi na kulipa wanalipishwa pia,yani umegongwa wewe na hela unamlipa aliyekugonga......
Kila napoendesha napoona road sign nafumba macho afu nakaza mguu kwenye accelelator
 
Vipi kuhusu mistari mingi ya njano pembeni ya barabara au kwenye makutano ya barabara?
 
Na pia kuna mistari ya orange huchorwa kwenye eneo pembeni ya barabara inakuelekeza nini?
 
Hivyo vifupisho maana yake nini mf. R, W, IN...
 
Kwenye round about naona madereva wa Automatic wengi hawajui sheria yake,wanaishia kupigwa pasi na kulipa wanalipishwa pia,yani umegongwa wewe na hela unamlipa aliyekugonga......
Round about...muda wote mpe kipaumbele wa kulia kwako.
 
Back
Top Bottom