Zijue Amri 10 za Dr. Slaa

Zijue Amri 10 za Dr. Slaa

7. Ni muadilifu.

KAIBA MKE WA MTU :caked:

Mushumbuzi alishaachana na mumewe slaa akabeba. Ingekuwa kweli mke wa mtu baba riz anavyomchukia angeshamfunga maana kwenye uchaguzi jk alikonda kwa sababu ya Dr
 
Na nawahakikishia hakuna mkombozi atakayetokea kutetea maslahi ya walala nyumba za Tembe kama Dr. Slaa sana sana alikua ni baba wa taifa hatuko naye tena na Mungu amuweke mbele ya haki. Sera zote tunazoona ****** anazifuatilia kwa semina zake anazodai elekezi zote ni sera za chama cha demokrasia na maendeleo habari ndio hiyo.
 
Kumbe ucha Mungu ni kuwa MZINZI? Tena kuzini na Mke wa Jirani yako, unampachika na mimba kabisaa? Hee makubwa haya! Kweli "ukipenda...chongo utaita kengeza"
 
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona

so kosa nenda kuzimu
 
Sema na makatibu wa vyama vingine wanakula sh.ngapi?
wanacho fanya ni sawa na wanacho lipwa?
Otherwise hela hela unayo enda kukaa cafe kuandika umbea ungeitumia kununua nguo uvae
 
Kumbe ucha Mungu ni kuwa MZINZI? Tena kuzini na Mke wa Jirani yako, unampachika na mimba kabisaa? Hee makubwa haya! Kweli "ukipenda...chongo utaita kengeza"

kwa iyo wewe kati ya yote umeliona ilo tu? Kweli mpenda chongo/uzinzi huita/kuona kengeza. Wewe kwa kuwa unapenda uzinzi umeona uzinzi tu.
 
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona
unajua kuwa bajeti ya chai ni TSH NGAPI? KWANI KWENU HAMUWEZI KUNYWA CHAI? JOTO LOTE LA TANZANIA MNASHINDA MAKAZINI MKINYWA CHAI NA MAANDAZI?(VITAFUNWA)
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusiana na Dr. Slaa:
  1. Mcha Mungu.
  2. Anayewajali na kuwastahi watu.
  3. Anapenda haki na kuwajali wanyonge.
  4. Mkweli wa maneno na matendo.
  5. Ana uwezo wa kuongoza na upeo mpana.
  6. Anapenda amani na utulivu.
  7. Ni muadilifu.
  8. Analipenda taifa lake.
  9. Sio fisadi.
  10. Ndani ya miaka 10 kawaletea maendeleo jimboni kwake.
umesahau moja ni maarufu kwa kudandia wake za watu
 
Kumbe ucha Mungu ni kuwa MZINZI? Tena kuzini na Mke wa Jirani yako, unampachika na mimba kabisaa? Hee makubwa haya! Kweli "ukipenda...chongo utaita kengeza"

Huna hoja ya msingi kuchangia mada hii hufananii kabisa pamoja na wewe kunitangulia hapa! Plz see below:

Join Date : 19th April 2008
Post : 4
Thanks : yai
Thanked yai Time in yai Post
Rep Power : yai
 
Nifahamuvyo hakusema amekufa. Isipokuwa aliwaambia waliokuwa wakimsikiliza kwamba amepata msg ya simu ambayo hamfahamu mtumaji ikimfahamisha kwamba Mkuu wa Mkoa ule ambao yeye alikuwa akifanya shughuli zake alikuwa kafariki. Aliwaomba wasikilizaji wake wasimame kwa heshima ya Mkuu huyo kama ni kweli angekuwa amekufa kama msg ilivyonadi. Baadae iligundulika kwamba msg ile ilikuwa ni kazi ya TISS ili watu wamwone si makini, lakini kwa wengi tunaoifahamu CCM na uhuni wake wakikachero hatukuona tatizo lolote pale kwani ange-Ignore ile msg na kama ingekuwa ni kweli amefariki angelaumiwa kwa kuonyesha dharau na kutokujali. Hayo ndiyo mambo ya TISS ambayo imesahau kabisa kushughulikia Usalama wa Taifa na wanahangaikia usalama wa Chama cha Magamba na makuwadi wao! Tena kwa gharama ya kodi tunazolipa. Ikumbukwe pia kwamba asasi hii hii ilwahi kuumbuliwa ilipotega vinasa sauti vyumbani mwa wabunge wa upinzani katika bunge lililopita! Shame on them, History will judge those ******.
Lengo lao ni kumfanya apoteze credibility kabisa kwa mbinu yoyote ile ikiwemo ya kum feed vitu vya uongo ili nae alonge kesho yake wamsute. Hili limeshashitukiwa na haliwezi kujirudia kama CCM kujivua gamba mara mbili.
 
tuache utani mi nasema tanzania asilimia tisini na tisa ni mafisadi tunachopisahana ni nafasi na viwango ndio maana kuna mafisadi viluwiluwi,mapapa ,nyangumi mpaka ma dinosauries so ishu ni wote tuache ulafi
 
Ni miaka 15 na sio 10. Karatu ni zaidi ya halmashauri nyingi sana hapa nchini! Umeme kila kijiji, maji sio tatizo. Shule za msingi na sekondari kila kata. Sio rahisi kuamini maana ni halmashauri mpya kutoka halmashauri ya Mbulu!

hv wewe ushawahi kufika karatu au unaongea tu? Mimi nakubali slaa kaleta maendeleo ila umeme hakuna kila kijiji,vijiji vingi vina maendeleo duni,barabara hazipitiki wakati wa mvua,maji hakuna japo mimi si mtu wa kuamini kiongozi ndio mleta maendeleo ya kila kitu. Dr slaa kajitahidi ila tusiongeze chumvi kuna vitu alishindwa kama mwanadamu.
 
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona
Anazolipwa Dr. Slaa mnaziona ni nyingi na CCM chache au unataka kupotosha umma hapa. Acha achukue kodi yetu anatujuza mengi na ameamsha wengi waliokuwa bado wamelala. Bora Dr. Slaa ale kodi yetu kuliko CCM na ujambazi wao ambao hawana manufaa yoyote kwa wananchi wake kutwa kuiba kila siku. Dr.Slaa ni haki yako bana hawa wengine wababaishaji
 
Pro Chadema wengi humu JF wamejaa upofu mpaka ufisadi wa chama chao wameufunika na blanketi jeusi, mimi naelezea sifa moja tu ya 7. jinsi Dk Slaa anavyotafuna kodi zetu Watanzania kupitia ruzuku wanayopata, mshahara wa Dk Slaa kwa mwezi 7000,000 kwa mwezi, kwa mwaka anakusanya 84,000,000, ndio Katibu mkuu wa chama cha siasa analipwa pesa nyingi kuliko wote Tanzania kwenye historia ya nchi yetu aijawahi kutokea, posho ya maandamano. kila maandamano posho 600,000, wastani wa maandamano kila mwezi kwa mwaka 7,200,000 jumla kwa mwaka Dk Slaa anakusanya shilingi milioni 91,200,000, huu ni ufisadi mkubwa anafanya Dk Slaa lakini kama wewe ni Pro Chadema JF uwezi kuliona

nilifikiri anaiba kumbe analipwa.
 
1 mcha mungu !aaaah mcha mungu anaweza kuzaa nje ya ndoa na dini yake haimruhusu ..na bado anaendeleza hako kamchezo mtumzima ovyo baada ya kuowa anazaa ovyo
 
Back
Top Bottom