LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
MAKAGA ( Making Kayumba Schools Great Again ) Campaign ni kampeni maalumu ya kitaifa iliyo lenga kuwafungua ufahamu wazazi wenye vipato vya chini wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule za EMs wawatoe huko wawarejeshe shule za Kayumba.
Kampeni hii inawahusu pia wazazi wenye vipato vya chini ambao bado hawaja waandilkisha watoto Wao shule na wanaumiza vichwa wakitaka kuwapeleka watoto Wao kwenye shule za EMs.
Kampeni hii ina faida nyingi Sana kuanzia Kwa
1. Wazazi wanao somesha shule za EMs( wenye vipato vya chini / wanao unga unga kusomesha watoto Wao shule hizo/ wanao jistress kusomesha shule hizo)
2. Wazazi wenye vipato vya kati wanao somesha shule za EMs ( Wazazi wenye uwezo wa kulipa ada Kwa wakati shule za EMs/ Wana assets mfano nyumba, mashamba, Kazi , miradi kadhaa etc. Kifupi wanaweza kusomesha watoto Wao Ems comfortably)
3. Wamiliki wa shule za EMs etc.
Faida ya kwanza :
"Wazazi wengi wanao somesha shule za EMs Wana amini kwamba watoto wanatakiwa kusoma kwenye darasa lenye wanafunzi wachache iwezekanavyo".
( Japo Mimi based on my personal understanding of children pyschology naamini watoto wana furahi Zaidi wanapokuwa wengi darasani na shuleni na hata mitaani Kwa sababu watoto hupenda michezo mingi. Watoto hupenda Kelele etc. To me kumpeleka mtoto kwenye darasa lenye wanafunzi wachache ni kufanya child abuse. You are robbing them with their childhood. Children should live their childhood to the fullest)
So wazazi wanao somesha Ems hata darasa lenye watoto 45 tu kwao bado wanaona ni wengi. Wanaona watoto Wao wanapata kero🤣🤣🤣🤣
Wanatamani darasa liwe na watoto hata Kumi tu.
Sasa basi hakuna kitu kinacho weza ku offer hii wish ya wazazi wanao somesha Ems kama MAKAGA Campaign .
Kwanini? Kwa sababu kupitia MAKAGA Campaign wazazi wengi Sana wanawatoa watoto Wao shule za EMs na kuwarejesha Kayumba.
Kadri wazazi wanavyozidi kuwatoa watoto Wao shule za EMs ndio idadi ya wanafunzi kwenye shule hizo inavyo pungua. So kama darasa lilikuwa na wanafunzi 45 halafu wanafunzi 20 wakahamishiwa Kayumba then darasa litabaki na wanafunzi 25 na darasa likibaki na wanafunzi 25 ndio inakuwa vizuri kwako wewe mzazi unaesomesha Ems Kwa sababu ndicho unacho kitaka hicho. Unataka mtoto wako asome kwenye darasa lenye watoto wachache.
In addition to that hata msongamano kwenye shule za EMs utapungua pia Kwa sababu watoto wengi Sana wanatolewa huko wanarejeshwa Kayumba.
Na kupungua kwa msongamano ndicho unacho kitaka wewe mzazi unaesomesha Ems Kwa sababu hutaki mtoto wako abughudhiwe kwenye msongamano.
So wewe mzazi mwenye kipato cha Kati unaesomesha Ems, MAKAGA Campaign ina serve your interests on your children. Uki ipinga unakuwa una demonstrate your ignorance. Yani unakuwa kama mtu ambae hajui Nini anafanya.
2. Faida namba 2 :
" Wazazi wengi wanao somesha shule za EMs husema kwamba kwenye shule za EMs watoto pia hupata connection Kwa kufahamiana na watoto wanao toka Kwenye familia bora. Watoto wa wafanyabiashara, viongozi etc."
So wazazi wanao somesha shule za EMs hutamani watoto Wao wafahamiane na watoto wanao toka familia zinazo jiweza kiuchumi.
Unfortunately enough, asilimia kubwa ya watanzania wanao wapeleka watoto Wao shule za EMs ni watanzania wenye vipato vya chini ( hohehahe) pamoja na wachache wenye vipato vya kati.
Ma bar maid, mama ntilie, Bodaboda, Madereva wa Bajaji, wakamaria( wacheza kamari/ wazee wa kubeti), wajasiriamali na wafanya biashara wadogo wadogo ndio wanawapeleka watoto Wao shule za EMs.
Wengi Wao wanaishi kwenye nyumba za kupanga na hawana assets. Hawana nyumba wala mashamba, wala investments za kueleweka.
Hawa ndio ninao sema Wana jistress kulipa mamilioni shule za EMs.
Na wengi Wao ni wasumbufu kwenye kulipa ada Kwa sababu hela zao wanapata Kwa kuunga unga.
Hawezi kuwanunulia watoto wake hata godoro la laki4 kwa sababu hela yote anapeleka Kwa Mr. Muggetta in the name of School fees
Most of the time watoto Wao huwa wanarudishwa nyumbani Kwa sababu ya wazazi kushindwa kulipa ada Kwa wakati.
Ndio hawa hawa hulalamika ada na Ikifika January watu hawa huchanganyikiwa( It means hawana mipango)
Kupitia MAKAGA Campaign, watu wote hawa Kwa wingi Wao wanawatoa watoto Wao shule za Ems na kuwarejesha watoto Wao Kayumba.
Matokeo Yake sasa , kwenye shule za EMs watabaki watoto wa wazazi ambao Wana vipato vya uhakika, wanaishi maisha ya Kati ( middle income)
Mfano : (Wanasheria, mawakili, mahakimu,), Ma sheriff, waajiriwa serikalini , Taasisi na kwenye makampuni, wafanya biashara wa kati nakadhalika.
At least mtoto wako atajuana na mtoto wa Mkuu wa kituo cha polisi, mfanyakazi wa usalama wa Taifa, Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania, mkulima wa anae miliki mashamba Morogoro, Mbeya etc.
( Hawezi kujuana na watoto wa viongozi na wafanya biashara wakubwa Kwa sababu Hao wanasomesha shule za International ada Dola Elfu 30 Kwa mwaka)
So kama Wewe ni mzazi mwenye kipato cha Kati na una mudu kulipa ada Kwa wakati shule ya Ems na una assets za kutosha then MAKAGA CAMPAIGN is in your best interest, vinginevyo unataka mtoto wako aishie kujuana na baadae kuzalishwa na mtoto wa mcheza kamari waliesoma wote shule ya EM🤣🤣🤣( hapa nimewaza kama unavyo waza wewe)
3." Wazazi wanao somesha Ems hupenda watoto Wao wawe kwenye class tofauti na watoto wa ( masikini) "
Only MAKAGA CAMPAIGN can offer this Kwa sababu kupitia MAKAGA Campaign masikini wote wanawatoa watoto Wao shule za EMs huko mnabaki "matajiri" so mtoto wako hatokuwa ana hang out na watoto wa masikini.
Au hujisikii Vibaya kuona wewe msomi una Kazi nzuri na " hela" halafu shule unayo somesha wewe na " Bodaboda" alie ishia la Saba anasomesha mtoto wake? Kwenye vikao vya wazazi shuleni unakaa jirani na Bar maid anaesomesha mtoto wake shule unayo somesha mwanao?🤣🤣🤣🤣
MAKAGA CAMPAIGN ni lazima kama " kuokoka".
4. MAKAGA CAMPAIGN inawasaidia pia wamiliki wa shule Kwa sababu wanao watoa watoto kwenye shule hizo na kuwarejesha shule za Kayumba ni watu ambao kwenye biashara wanajulikana kama " Bad People"
Who are bad people in business?
In business a bad person is any person who can not afford to pay in full what you are selling .
Haijalishi wewe ni Mchungaji , Shekhe swala Tano na ni mtu mwema kiasi gani kwenye Jamii yako but if you cannot afford to buy what i am selling then in my business you are a bad person .
Hawa watu hawana uwezo wa kulipa Kwa wakati.
Hata ada yenyewe ya term tu hulipa Kwa instalments. Hiki sicho kitu ambacho wamiliki wa shule za EMs huenda kukiomba vilingeni.
Wakienda vilingeni huomba shule zao zipate wazazi wengi ambao watakuwa na uwezo wa kulipa ada Kwa wakati.
So MAKAGA CAMPAIGN inawasaidia hata wamiliki wa Ems kwenye biashara zao.
In addition to that kama Wewe ni mzazi mwenye kipato cha Kati na una uwezo wa kulipa ada Kwa wakati ila unapingana na MAKAGA CAMPAIGN jua ya kwamba wewe ni mjinga na hauna mahusiano mazuri na pesa zako Kwa sababu unacho kifanya ni kuwalipia pia watoto wa Hao wazazi masikini wanao soma shule za EMs kwa sababu wazazi wao wengi hawalipi ada Kwa wakati so hela unayo toa wewe ndio inayotumika kuendesha shule kuwalipa waalimu mishahara etc.
Haya Sasa twende Kazi.... kimbia haraka Sana Hadi kwenye shule ya Ems mchukue mtoto wako mrudishe Kayumba. You will thank me later, 🙏🙏🙏
Making Kayumba Schools Great Again