LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
ShotocanView attachment 3213408
Matokeo ya shule ya kata wilaya ya Nyang'hwale kijiji cha Bukwimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShotocanView attachment 3213408
Matokeo ya shule ya kata wilaya ya Nyang'hwale kijiji cha Bukwimba.
Aise hii kampeni yako na point ulizotoa hata sikuelewi,unasema MAKAGA-Making Kayumba Schools Again halafu unasema lengo kuu ni kuwatoa wanafunzi EMs kuwapeleka huko,sasa hapo how are you making a school great?kwa kuwaongezea mzigo?nilidhani ili kufanya Kayumba Schools great again ulipaswa Ku deal na shule zenyewe na sio kuziongezea mzigo wa wanafunzi ambao tayari unawaelemea na kuathiri ufaulu?
Ukitaka kuzifanya hizo kayumba great again sio kuwatoa wanafunzi EMs na kuongeza msongamano zaidi huko ila fanya yafutayo;
1.Hamasisha ujenzi wa madarasa mengi na bora ili msongamo upungue
2.Kuongezwa kwa idadi ya walimu wanaofundisha ili mwalimu mmoja aweze kufundisha darasa analoweza kulimudu
3.Kuongezwa kwa maslahi ya walimu ili kuinua morali ya kufanya kazi yao.
4.Kuboresha mazingira ya kufundishia ikiwemo ofisi,vyoo,mabafu,maji safi nk
5.Zijengwe kayumba za boarding za shule ya msingi ili kukidhi matakwa ya wale wanaopeleka watoto bweni
6.Kuajiri waalimu wenye uwezo mzuri wa kiingereza na lugha zingine za kimataifa
7.Lugha ya kufundishia iwe Kiingereza lakini somo la Kiswahili iwe ni lazima kufaulu
8.Chakula cha mchana kupatikana shuleni
9.Maafisa elimu kufuatilia Mara kwa mara maendeleo ya shule wanazosimamia.
Ukifanya haya mzazi hatakuwa na sababu ya kumpeleka mtoto shule za gharama maana anachotafuta kwa mtoto wake atakipata Kayumba na hivyo hutatumia nguvu yoyote kuwashawishi wawatoe watoto huko watawatoa wenyewe kwa hiari yao.
Aise hata kama ndio kampeni hapa unahadaa watu makusudi,Child abuse?kwamba hujui mwalimu anapokuwa na wanafunzi wachache ndio anakuwa na muda mzuri wa kuwafundisha masomo na kujua hata tabia zao?Hata viwango vya Kimataifa vinashauri hivyo.To me kumpeleka mtoto kwenye darasa lenye wanafunzi wachache ni kufanya child abuse. You are robbing them with their childhood
Aliekwambia watoto wadogo wanaenda shule Kwa ajili ya kusoma nani?Aise hata kama ndio kampeni hapa unahadaa watu makusudi,Child abuse?kwamba hujui mwalimu anapokuwa na wanafunzi wachache ndio anakuwa na muda mzuri wa kuwafundisha masomo na kujua hata tabia zao?Hata viwango vya Kimataifa vinashauri hivyo.
Kwani wakiwa wengi darasani kuna faida gani?kama ni kucheza darasani sio mahali pa kucheza ni kusoma,kucheza watakutana nje ya darasa tena wakiwa wengi zaidi.
🤣🤣🤣🤣WAKITOKA HUKO BAADA YA KUPOTEZA HELA WANAANZA KULILIA AJIRA ELFU 13 ZA SERIKALI🤣🤣🤣🤣🤣
YAANI BAADA YA KUTUPA MILLION 50 PLUS UNARUDI KUGOMBEA INTERVIEW NA KIDUMU NA FAGIO ALAFU MUNGU SI RAJABU WALA JUMA KIDUMU NA FAGIO ANAPATA AJIRA MTOTO WAKO WA EMS NALAMBA MANYOYA🤗🤗🤗
KUNA KIPINDI KATIKA AWAMU YA TATU SERIKALI ILIKUWA INAWABANIA HAWA EMS GRADUATES KUPATA MIKOPO.MAANA KWA AKILI YA KAWAIDA KAMA UNAUWEZO WA KULIPIA ADA ZAIDI YA 20MILLION ELIMU YA PRIMARI NA SEKONDRI. WEWE UNAHELA BWANA AU NASEMA UWONGO MATAJRI WA ENGLISH MEDIUM SCHOOLS ( EMS).
KICHEKESHO WAZAZI WAKAANZA KUWACHOMOA VITOTO VYAO HUKO EMS NA KUVIRUDISHA KAYUMBA ILI CHUO WASIJE NYIMWA MIKOPO🙌🙌🤣🤣🤣🤣NYIE MIDDLE INCOME DWELLORS(WABANGAIZAJI) ACHENI MBWEMBWE BWANA NYIE HAMNA HELA MASKINI NYINYI!!!