Zijue faida hizi za MAKAGA Campaign kwa wazazi wenye vipato vya kati wanao somesha EMs ( wanao mudu kulipa ada Kwa wakati)

Aise hii kampeni yako na point ulizotoa hata sikuelewi,unasema MAKAGA-Making Kayumba Schools Again halafu unasema lengo kuu ni kuwatoa wanafunzi EMs kuwapeleka huko,sasa hapo how are you making a school great?kwa kuwaongezea mzigo?nilidhani ili kufanya Kayumba Schools great again ulipaswa Ku deal na shule zenyewe na sio kuziongezea mzigo wa wanafunzi ambao tayari unawaelemea na kuathiri ufaulu?

Ukitaka kuzifanya hizo kayumba great again sio kuwatoa wanafunzi EMs na kuongeza msongamano zaidi huko ila fanya yafutayo;
1.Hamasisha ujenzi wa madarasa mengi na bora ili msongamo upungue
2.Kuongezwa kwa idadi ya walimu wanaofundisha ili mwalimu mmoja aweze kufundisha darasa analoweza kulimudu
3.Kuongezwa kwa maslahi ya walimu ili kuinua morali ya kufanya kazi yao.
4.Kuboresha mazingira ya kufundishia ikiwemo ofisi,vyoo,mabafu,maji safi nk
5.Zijengwe kayumba za boarding za shule ya msingi ili kukidhi matakwa ya wale wanaopeleka watoto bweni
6.Kuajiri waalimu wenye uwezo mzuri wa kiingereza na lugha zingine za kimataifa
7.Lugha ya kufundishia iwe Kiingereza lakini somo la Kiswahili iwe ni lazima kufaulu
8.Chakula cha mchana kupatikana shuleni
9.Maafisa elimu kufuatilia Mara kwa mara maendeleo ya shule wanazosimamia.

Ukifanya haya mzazi hatakuwa na sababu ya kumpeleka mtoto shule za gharama maana anachotafuta kwa mtoto wake atakipata Kayumba na hivyo hutatumia nguvu yoyote kuwashawishi wawatoe watoto huko watawatoa wenyewe kwa hiari yao.
 
Wewe Unaogopa mizigo mkuu? Mimi siogopi as a matter of fact nani kakwambia shule za Kayumba zina mzigo wa wanafunzi?
Ukitaka kuzifanya hizo kayumba great again sio kuwatoa wanafunzi EMs na kuongeza msongamano zaidi huko ila fanya yafutayo;
1.Hamasisha ujenzi wa madarasa mengi na bora ili msongamo upungue
2.Kuongezwa kwa idadi ya walimu wanaofundisha ili mwalimu mmoja aweze kufundisha darasa analoweza kulimudu
3.Kuongezwa kwa maslahi ya walimu ili kuinua morali ya kufanya kazi yao.
4.Kuboresha mazingira ya kufundishia ikiwemo ofisi,vyoo,mabafu,maji safi nk

Yote yanafanyika Haya ni kwamba tu hufuatilii.

U need to know that " MAKAGA Campaign" is an ideology. " Making Kayumba School Great Again maana Yake badilisha mentality yako kuhusu shule za Kayumba.
5.Zijengwe kayumba za boarding za shule ya msingi ili kukidhi matakwa ya wale wanaopeleka watoto bweni

Sikubaliani na wewe mkuu. Shule za boarding za watoto ili iweje? Watoto wanatakiwa kulelewa na wazazi Wao nyumbani. Serikali yenyewe imepiga marufuku shule za boarding Kwa watoto wa shule ya msingi. Ni wazi kuwa hufuatilii habari za elimu ya Tanzania
6.Kuajiri waalimu wenye uwezo mzuri wa kiingereza na lugha zingine za kimataifa

Waalimu wa kiingereza Wapo. Lugha nyingine za kimataifa kwa ajili Gani Kwa mtoto wa shule ya msingi. Yani unataka tuanze kufundisha watoto wetu kichina ama?
7.Lugha ya kufundishia iwe Kiingereza lakini somo la Kiswahili iwe ni lazima kufaulu

Mtoto anaelewa Zaidi anapofundishwa Kwa lugha mama yake...
8.Chakula cha mchana kupatikana shuleni

Kinapatikana
9.Maafisa elimu kufuatilia Mara kwa mara maendeleo ya shule wanazosimamia.

Wanafuatilia
Ukifanya haya mzazi hatakuwa na sababu ya kumpeleka mtoto shule za gharama maana anachotafuta kwa mtoto wake atakipata Kayumba na hivyo hutatumia nguvu yoyote kuwashawishi wawatoe watoto huko watawatoa wenyewe kwa hiari yao.
 
To me kumpeleka mtoto kwenye darasa lenye wanafunzi wachache ni kufanya child abuse. You are robbing them with their childhood
Aise hata kama ndio kampeni hapa unahadaa watu makusudi,Child abuse?kwamba hujui mwalimu anapokuwa na wanafunzi wachache ndio anakuwa na muda mzuri wa kuwafundisha masomo na kujua hata tabia zao?Hata viwango vya Kimataifa vinashauri hivyo.
Kwani wakiwa wengi darasani kuna faida gani?kama ni kucheza darasani sio mahali pa kucheza ni kusoma,kucheza watakutana nje ya darasa tena wakiwa wengi zaidi.
 
WAKITOKA HUKO BAADA YA KUPOTEZA HELA WANAANZA KULILIA AJIRA ELFU 13 ZA SERIKALI🤣🤣🤣🤣🤣

YAANI BAADA YA KUTUPA MILLION 50 PLUS UNARUDI KUGOMBEA INTERVIEW NA KIDUMU NA FAGIO ALAFU MUNGU SI RAJABU WALA JUMA KIDUMU NA FAGIO ANAPATA AJIRA MTOTO WAKO WA EMS NALAMBA MANYOYA🤗🤗🤗

KUNA KIPINDI KATIKA AWAMU YA TATU SERIKALI ILIKUWA INAWABANIA HAWA EMS GRADUATES KUPATA MIKOPO.MAANA KWA AKILI YA KAWAIDA KAMA UNAUWEZO WA KULIPIA ADA ZAIDI YA 20MILLION ELIMU YA PRIMARI NA SEKONDRI. WEWE UNAHELA BWANA AU NASEMA UWONGO MATAJRI WA ENGLISH MEDIUM SCHOOLS ( EMS).

KICHEKESHO WAZAZI WAKAANZA KUWACHOMOA VITOTO VYAO HUKO EMS NA KUVIRUDISHA KAYUMBA ILI CHUO WASIJE NYIMWA MIKOPO🙌🙌🤣🤣🤣🤣NYIE MIDDLE INCOME DWELLORS(WABANGAIZAJI) ACHENI MBWEMBWE BWANA NYIE HAMNA HELA MASKINI NYINYI!!!
 
Aliekwambia watoto wadogo wanaenda shule Kwa ajili ya kusoma nani?

You have got a very limited understanding about children pyschology
 
WAKITOKA HUKO BAADA YA KUPOTEZA HELA WANAANZA KULILIA AJIRA ELFU 13 ZA SERIKALI🤣🤣🤣🤣🤣

YAANI BAADA YA KUTUPA MILLION 50 PLUS UNARUDI KUGOMBEA INTERVIEW NA KIDUMU NA FAGIO ALAFU MUNGU SI RAJABU WALA JUMA KIDUMU NA FAGIO ANAPATA AJIRA MTOTO WAKO WA EMS NALAMBA MANYOYA🤗🤗🤗

KUNA KIPINDI KATIKA AWAMU YA TATU SERIKALI ILIKUWA INAWABANIA HAWA EMS GRADUATES KUPATA MIKOPO.MAANA KWA AKILI YA KAWAIDA KAMA UNAUWEZO WA KULIPIA ADA ZAIDI YA 20MILLION ELIMU YA PRIMARI NA SEKONDRI. WEWE UNAHELA BWANA AU NASEMA UWONGO MATAJRI WA ENGLISH MEDIUM SCHOOLS ( EMS).

KICHEKESHO WAZAZI WAKAANZA KUWACHOMOA VITOTO VYAO HUKO EMS NA KUVIRUDISHA KAYUMBA ILI CHUO WASIJE NYIMWA MIKOPO🙌🙌🤣🤣🤣🤣NYIE MIDDLE INCOME DWELLORS(WABANGAIZAJI) ACHENI MBWEMBWE BWANA NYIE HAMNA HELA MASKINI NYINYI!!!
🤣🤣🤣🤣

100% Facts
 
Back
Top Bottom