Kuna vitu vidogodogo lakini sisi huwa hatujui faida zake mwilini, Kwa mfano kitunguu swaumu ambacho akina mama zetu nyumbani wamezoa kuweka katika pilau lakin kina faida kubwa sana mwilini. Wengi wamekuwa hawapendii hii harufu ya swaumu kutokana na kwamba ukila lazima mdomo wako unuke swaumu au pilau fulani iv sasa Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada ya kukila unashauriwa kunywa maji mengi uneutralize hii harufu
Kitunguu swaumu kimekusanya protin 49%,sulphur 25%, chumvi,inasaidia kuongeza nguvu za kiume,kuua sumu,vikojozavyo,wenye matatizo ya hedhi, kuyeyusha mafuta na viini vyenye kuua minyoo.Kila utafiti unapoendelea ndipo faida na maajabu ya kitunguu swaumu yanapoongezeka.
Haya ni maradhi yanayotibika kwa Kitunguu Swaumu
1.Kuua sumu
2.Kisafisha tumbo
3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)
4.Huzuia kuvuja kwa damu
5.Kusafisha njia ya mkojo
6.Kutibu amoeba
7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)
8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)
9.Gesi
10.Msokoto wa tumbo
11.Typhoid
12.Kidonda kilichooza
13.Dondakoo
14.Mabaka
15.Baridi yabisi(Rheumatisim)
16.Mishipa
17.Uziwi
18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza)
19.Mafua
20.Saratani(Cancer)
21.Kifaduro
22.Kifua kikuu cha mapafu
23.Kipindupindu
24.Kutoa minyoo
25.Upele
26.Kuvunjavunja mawe katika figo
27.Mba kichwani
28.Kuupa nguvu ubongo
29.Kuupa nguvu fizi
30.Kuzuia meno kung'ooka
31.Nguvu za kiume
32.Maumivu ya kichwa
33.Kizunguzungu/kisunzi
34.Kutuliza maumivu ya meno
35.Kujenga misuli na kutia nguvu
36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis)
37.Shinikizo la damu
38.Kinga ya tauni na ukimwi
39.Magonjwa ya macho
Kitunguu swaumu inaweza kuchanganywa kwenye vitu kama maziwa, asali, habatsouda, juisi,
NB; Dawa za asili hufanya kazi taratibu hivyo huwezi kuona effect kesho asubuhi ukianza kutumia kuwa mpole matokeo utayaona Tu..
Wakubwa mnaweza kuongezea kwa nilicho kisahau hapa
© cc12