Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

FAIDA 20 ZA KITUNGUU SWAUMU DHIDI YA MAGONJWA SUGU (CHRONIC DISEASE)

1. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
2. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
3. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
4. Huzuia kuhara damu (Dysentery)
5. Huondoa Gesi tumboni
6. Hutibu msokoto wa tumbo
7. Hutibu Typhoid
8. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
9. Hutibu mafua na malaria
10. Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB)
11. Hutibu kipindupindu
12. Hutibu upele
13. Huvunjavunja mawe katika figo
14. Hutibu mba kichwani
15. Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika kitunguu swaumu.
16. Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu
17. Huongeza sana nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume)
18. Hutibu maumivu ya kichwa
19. Hutibu kizunguzungu
20. Hutibu shinikizo la juu la damu
21. Huzuia saratani/kansa
22. Hutibu maumivu ya jongo/gout
23. Huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
24. Huongeza hamu ya kula
25. Huzuia damu kuganda
26. Husaidia kutibu kisukari
27. Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na ni moja ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka mingi
28. Huongeza sana kinga ya mwili na kwa muda mfupi, kijaribu na ulete majibu

FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMU KATIKA MWILI WA BINADAMU

- Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu.

- Husaidia uthibiti wa kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na kupunguza madhara ya kisukari.

- Iwapo vitapondwa pondwa vizuri, vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo Allicin ambayo ni dawa dhidi ya bakteria, na phytoncide ambayo huua fangasi wa aina mbalimbali.

KUMBUKA:

Kitunguu swaumu kinaweza kuwa na faida nyingi zaidi ya hizi lakini bado nakushauri utumie kiasi kidogo (punje 6 tu) kila siku kwa kipindi kirefu wiki 2 au 3 hata mwezi ili uone faida zake zaidi.

Ikikutokea tangu umeanza kutumia kitunguu swaumu kichwa kinauma zaidi unaweza kupumzika siku mbili hivi na baadaye unaendelea hivyo hivyo.

FB_IMG_1573138128657.jpeg
 
Habari mkuu, shukrani sana kwa elimu hii muhimu. Naomba niulize hivyo vitunguu swaumu sita nameza au natafuna na je natumia asubuhi au jioni au muda wowote? Asante.
 
Kinakua na nguvu zaidi ukikila kabla hujala asuɓuhi, hivyo ni vyema ukakitumia asuɓuhi kabla ya chai
 
Habari mkuu, shukrani sana kwa elimu hii muhimu. Naomba niulize hivyo vitunguu swaumu sita nameza au natafuna na je natumia asubuhi au jioni au muda wowote? Asante
Unameza kama dawa hii kuzuia harufu mbaya mdomoni ila utakuwa unaweza kutafuna ni sawa tu
 
Maharage ukiyaungia kitunguu swaumu hayachach, so kina act as bactericidal au?
 
Back
Top Bottom