ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Shukrani mkuuUnameza kama dawa hii kuzuia harufu mbaya mdomoni ila utakuwa unaweza kutafuna ni sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuuUnameza kama dawa hii kuzuia harufu mbaya mdomoni ila utakuwa unaweza kutafuna ni sawa tu
Naomba kuuliza je kitunguu swaumu hakiimarishi mifupa?FAIDA 20 ZA KITUNGUU SWAUMU DHIDI YA MAGONJWA SUGU (CHRONIC DISEASE)...
Boss me nasumbuliwa na mba kwenye ngozi mwili mzma toka 2015 naomba unisaidie dawa kama unalifaham tashukuru sanaFAIDA 20 ZA KITUNGUU SWAUMU DHIDI YA MAGONJWA SUGU (CHRONIC DISEASE)
1. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
2. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
3. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine...
Mbona hujasema matumizi yake mkuu?[emoji269] [emoji269]
Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na yanatibika au kukingika kwa kitunguu thoum:
[emoji117]Huondoa sumu mwilini
[emoji117]Husafisha tumbo
[emoji117]Huyeyusha mafuta mwilini (cholesterol )
[emoji117]Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
[emoji117]Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
[emoji117]Huzuia kuhara damu (Dysentery)
[emoji117]Huondoa Gesi tumboni
[emoji117]Hutibu msokoto wa tumbo
[emoji117]Hutibu Typhoid
[emoji117]Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
[emoji117]Hutibu mafua na malaria
[emoji117]Hutibu kifua kikuu
[emoji117]Hutibu kipindupindu
[emoji117]Hutibu upele
[emoji117]Huvunjavunja mawe katika figo
[emoji117]Hutibu mba kichwani
[emoji117]Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika kitunguu thoum.
[emoji117]Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu
[emoji117]Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uhanithi (kushindwa kusimama kabisa uume)
[emoji117]Hutibu maumivu ya kichwa
[emoji117]Hutibu kizunguzungu
[emoji117]Hutibu shinikizo la juu la damu
[emoji117]Huzuia saratani/kansa
[emoji117]Hutibu maumivu ya jongo/gout
[emoji117]Huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
[emoji117]Huongeza hamu ya kula
[emoji117]Huzuia damu kuganda
[emoji117]Husaidia kutibu kisukari
[emoji117]Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na moja ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka mingi
[emoji117]Huongeza SANA kinga ya mwili na kwa muda mfupi
Sasa kama Mimi maziwa yananishinda NAFANYAJE na je unakula kibichiJitahidi kutumia maziwa ili kukata hiyo harufu.