Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hii ingewekwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Daily News.A man should start his own family, not join another man's family
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ingewekwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Daily News.A man should start his own family, not join another man's family
Mke wangu mimi ni kamanda in chief kwenye hili suala. Yan ni mwamba!!.6.Akikukosea atakuomba msamaha,anajua thamani ya kuomba msamaha.
Iwekewe na lamination kabis@ hiyo gazeti ili isichakae..Hii ingewekwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Daily News.
Maaba watu wanajizima data baadae utawaona wanakuja kuomba ushauri.Iwekewe na lamination kabis@ hiyo gazeti ili isichakae..
We kama ulimpata na akakufaa mshukuru mungu watu hawafanani bossSawa, huu ushauri utamfaa sana mwanao wa kiume atausoma akimaliza shule
nakaziaUhakika wa kukuzalia mtoto 100% hawanaga chango la uzazi,
Hawana utoto mwingi
Wanayaelewa vizuri maisha
NB: Single mother wa dar na mikoani ni viiumbe wawili tofauti
Labda sio huyu niliyekuwa nimemuoa mimi.... Yaani mpaka najuta, sio wote wako hivyo, wengine ukianza kuishi nao unakuja kupata jibu la kwanini waliachika.... Wanazingua sana baadhi yao aiseeWatu wengi wamekua na kasumba ya kuwaponda single mothers kwamba hawafai kuoa na kutoa sababu kedekede sasa leo nakupa faida za kuoa single mothers.
1. Kashapevuka kiakili.
2.Atalea mtoto / watoto vizuri kwani ana uzoefu.
3..Anajua thamani ya kupendwa,kwani ashatendwa
4.Hatatamani kukupoteza kwani alishampoteza aliyempenda huko nyuma.
5.Atajitahidi asikukosee,ashajifunza kutokana na makosa ya nyuma
6.Akikukosea atakuomba msamaha,anajua thamani ya kuomba msamaha.
7.Ni wavumilivu.
8.Anathamini ile heshima ya kuitwa mrs fulani
9.Tayari una uhakika wa uzazi..sio mgumba.
Hizo ni baadhi tu ya faida lukuki za kuoa single mother..hivyo msiogope, hata Mungu ukimuomba msamaha anatoa nafasi ya pili, faida ni nyingi sana kuliko hasara[emoji23]
Credrit: Msouthherbs.
1. Kuna tofauti ya kupevuka na kuvurugwa na maisha hadi ukalazimika kukubaliana na hali yoyote itayokukuta na ukatakiwa kujishusha. Anapevuka binti anayevunja ungo, single mother anavurugwa na aliyezaa nae anakukubalia wewe na kuendana na masharti yako magumu kwasababu hana namna.
2. Single mother wengi sio walezi wazuri wa watoto. Labda kama umefanya reference ya akina mama wa miaka ya nyuma( kuanzia 1980 kurudi nyuma) ambao hii character ya single mothers haiwahusu sana maana haikuwa desturi yao. Ila hawa wa sasa ni breed ya tofauti inayoendeshwa na mtandaoni na life style ya uharibifu. Sasa ingia ujue haujui.
3. Thamani ya kupendwa huwa anae ifahamu ni yule mwenye history nzuri ya malezi tokea kwa wazazi. Masingle mother wengi wa sasa wanatokea familia za mama bila baba, au mama na baba wa hovyo yaani broken homes ambazo hazinaga misingi ya upendo. Hawajui thamani wala maana ya upendo. Akija kwa mwanaume anajinyenyekesha ili kupata hifadhi ila sio kwa mapenzi sababu wengi wanakuwa na trauma aidha za malezi waliyokulia au za mahusiano yaliyoharibika. Ni swala la muda akipata alichofuata umeisha. Kama unakataa jaribu ujionee.
4. Of course kama unampa anachotaka hatotaka kukupoteza but mind you, watoto wake wakishakomaa na kuanza maisha na yeye akajiwekea msingi then hapo hata ukiondoka hasituki. Kwakifupi wapo kimkakati na hili kwa waliowahi kukutana na visanga vya single mothers watakushuhudia wazi wazi kabisa kuwa ni kweli.
5. Kuhusu kujifunza nitakukatalia kwa asilimia 90. Mara nyingi huwa hawajifunzi. Wengi wanapoa kwa muda na kinachotokea ni yale matabia yake utashangaa yamehamia kwa watoto. Wengi huwa wanakuwa tayari ni damaged goods kutokea huko walipotoka. Ukiona mfupa fisi kaucha jua mbwa hatauweza. Ukiona aliyeanza nae amemshindwa wewe unayekwenda kupokea mpira utawezea wapi?
6. Kuomba msamaha haimaanishi mtu atabadilika. Sometimes ni tekiniki ya kukupunguza makali na kukuandaa kwa pigo au shambulizi jipya. Usijidanganye na machozi ya mamba na drama za kukuigizia mapenzi, hawa wadudu ni ma best actress wa mahusiano.
7. Neno kuvumilia linamaanisha ni kitendo cha kukaa sehemu pasipofaa. Mwanamke ambaye anavumilia sehemu ambapo anajua au kaona sio stahiki yake then jua ana lake jambo mwisho wa siku.
8. Angekuwa ana thamini ile heshima ya kuwa mrs fulan then angejitunza na kuwa makini sana kipindi cha usichana akiwa na 16 hadi 26 years. But kwa bahati mbaya wengi umri huo wanakuwa wanaruka sarakasi za usichana kisha wanakuja kushtukia hawana pa kushika hatimae kutelekezwa sababu ni wazi walitumika vibaya nani anataka kuoa demu aliyeliwa na masela.
9. Kama kigezo ni uzazi why uende kuanza na mwanamke aliyezaa hawa ambao hawajazaa hata mtoto m'moja na pengine ni bikra nao wafuate huo uzembe?
Kwa kifupi hakuna ulichoweza kuongea chenye tija kwa wanaume hapo cha zaidi umeongea mambo ambayo sidhani hata wewe binafsi umeshawahi shuhudia binafsi au kuona watu wakiyapata. Acha kuwa kilaza. Kama unapenda vya kunyonga vya kuchinja utaviweza wewe kweli? [emoji848]
Hasara za kuoa single mothersWatu wengi wamekua na kasumba ya kuwaponda single mothers kwamba hawafai kuoa na kutoa sababu kedekede sasa leo nakupa faida za kuoa single mothers.
1. Kashapevuka kiakili.
2.Atalea mtoto / watoto vizuri kwani ana uzoefu.
3..Anajua thamani ya kupendwa,kwani ashatendwa
4.Hatatamani kukupoteza kwani alishampoteza aliyempenda huko nyuma.
5.Atajitahidi asikukosee,ashajifunza kutokana na makosa ya nyuma
6.Akikukosea atakuomba msamaha,anajua thamani ya kuomba msamaha.
7.Ni wavumilivu.
8.Anathamini ile heshima ya kuitwa mrs fulani
9.Tayari una uhakika wa uzazi..sio mgumba.
Hizo ni baadhi tu ya faida lukuki za kuoa single mother..hivyo msiogope, hata Mungu ukimuomba msamaha anatoa nafasi ya pili, faida ni nyingi sana kuliko hasara😂
Credrit: Msouthherbs.