britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo,
Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani?
Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo
1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited
2. Unaweza panga nani awe fulan kwenye sehemu ya uwakilishi ndani ya BUNGE ama SERIKALI endapo Mtawala atataka kubalance mambo
3. Misaada kimataifa ya kutoka vyaka vya upinzani wa nchi nyinginezo zinazotoa zikidhani hata Tanzania vyama viko serious
4. Kupata platform kimataifa na kumulikwa Kwakuwa inakuwa uko kama icon ya kundi la watu fulani.
5. Ni rahisi kupata connection za kufanya biashara kimataifa na watu
6. Unakuwa na kupewa kipaumbele kwenye huduma mbali mbali , kitaifa na kimataifa
7. Unapata passport ya diplomat
8. Unaweza unda kamati Yako ya kukikopesha chama hata kwa riba kubwa sana na ukajipatia kwa urahisi mali.
9. Kwa wanaume tunajua tuna matamanio na jinsia ya KE, Kwahiyo unakuwa na access ya kupata Toto unayetaka kwa kumuahidi cheo!
10. Una access ya ku I black mail serikali na ukapewa mchuzi ukanyamaza
11. Watoto wako na familia yako wanapewa vipaumbele kwenye Taasisi mbali mbali
HIVO AKINA LIPUMBA WALIOKAA MIAKA 20 SI WAJINGA HASA KWA TANZANIA AMBAYO BADO IMELALA
Britanicca