Zijue Faida za kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani

Ndio maana watu wanataka kufia kwenye Uenyekiti kuliko kupambana ili kuchukua Madaraka.
 
Sio rahisi kutekwa na kupotezwa kama wanachama wenzako wa kawaida sababu ya cheo chako na connection za kimataifa ulizonazo.

ila unaweza bambikwa kesi, kukaa rumande kwa muda mrefu, kufilisiwa mali, kuharibiwa biashara/uchumi hata kufungwa.
Exactly
 
Hujaelewa point au Rejea Tena !

Pale UVCCM hata balozi fulan amewai waahidi wanawake nafasi viti maalumu alafu akawacharaza horizontal engineering!

Huko CHADEMA ndo usiseme kabisaaaaaaaaaaaa!! Kabisaaaa hao Covid 19 wote wanaingia BILA kufuata utaratibu!!!

akina Mukya wote!

Na asilimia 80% ya wanawake viti maalumu Bungeni wamekuwa horizontally engineered

Au mnataka tuwavue watu nguo kabisa hapa ?


Britanicca
 
Sio rahisi kutekwa na kupotezwa kama wanachama wenzako wa kawaida sababu ya cheo chako na connection za kimataifa ulizonazo.

ila unaweza bambikwa kesi, kukaa rumande kwa muda mrefu, kufilisiwa mali, kuharibiwa biashara/uchumi hata kufungwa.
Mkuu, mbona hukumalizia na hili la risasi?
 
Lipumbavu ana watoto?
 
Hili pia nakuunga mkono comrade,tukiwaona wanawake, tuone sura za mama zetu katika hao wanawake, na hapo tutawaheahimu wanawake
 
Mbowe anazingua sana, sitapigia kura teena CHADEMA siku hiyo nitalala tu home ***** zake!!.
 
Watanzania wengi wajinga sana.
 
🙋‍♂️💐✍️🤝👏🙏🛡️
 
Jamaa amekuwa mkweli kutoa siri ya wazi... Viti maalum na kule UWT kuna wauzaji wengi sana. Tunawajua! Basi tu! Wengine wakishapata vyeo ndoa kwishney!
 
hiyo namba 10 ya kulamba asali ndio yenye faida kubwa kwao kuliko chochote, na kuingia makubaliano na chama tawala kufanya au kutofanya jambo fulani linalowaumiza na wewe upate mpunga wa kueleweka. kwa sababu wewe ni chair ni rahisi kuwahadaa chawa wako na kuwapa maelekezo nini wapinge na nini wasipinge, nini wafanye na nini wasifanye. ila wananchi mtaani ndio wanapigwa virungu kwa ajili yako wewe unaota kitambi tu.
 
Kumbe ninhaya
 
Mbowe na Joyce Mukya, Benson Kigaila na mwalimu wake zao ni miongoni mwa covid19, msamaha wa nini?Kwa mifano hiyo usiombe radhi.
 
Mbowe na Joyce Mukya, Benson Kigaila na mwalimu wake zao ni miongoni mwa covid19, msamaha wa nini?Kwa mifano hiyo usiombe radhi.
Gentleman,
zingatia maelezo ya udhalilishaji kwa wanawake point no.9.🐒
 
Leteni madili ya CCM sisi tufanye kazi, taifa hili bila CCM imara ni miyeyusho. Huko Chadema wamejaa majizi mtupu, mkikaa vibaya hata Lisu watamuiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…