Zijue faida za kuwa na mke

Mapadre wa Katoliki na maaskofu wao wanaishi maisha marefu sana kuliko waliooa nini kinawasaidia?
Utafiti wangu mdogo unaonesha wanaume wengi waliooa hawafi kwasababu ya ulaji hafifu, wanakufa kwa stress kwasababu wanawake wengi baada ya kuolewa wanakuwa pasua kichwa
 
Naunga mkono hoja ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿค
 
Medical studies zote ulizoziainisha zimebase on western community. Yaani gather here na utambuwe, sociological research yeyote ikitolewa inakuwa based on a certain community. Haiapply worldwide sio medical study yenye kuassociate medical aspects bali inabase on social determinants and factors. Hizo conclusion haziapply 90-100% on 3rd world countries maana hata some medical studies hufeli kuwa applied. Huko nje bado amoxicillin ina nguvu dhidi ya UTI ila in 3rd world country meropenem ndio imeanza kuwa ideal drug basing on studies. Hamna kitu hapo boss
 
Hizo ni data za ana Makinda na zimejaa uongo mtupu, mimi mwenyewe sikuhesabiwa halafu mtuambie wanawake ni wengi kuliko wanaume?

Ni uongo mkubwa
Uwiano haupo kwasababu female baby deliveries ni nyingi kuliko male babies. Vitu vingi bado hawatambui. Pia kwenye kujifungua, survival rate ya female babies ni kubwa kuliko male babies, hasa kwenye risk pregnancies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ