Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Ndio nishachangamka nao siwaoni😂Ukapera haufai changamka upate jiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nishachangamka nao siwaoni😂Ukapera haufai changamka upate jiko.
Achana na mawazo ya kivulana bwashee.Alafu achaga kujipendekeza kwa kina dada kuwaona kana kwamba bila wao maisha hayaendi.
😂😂😂Wanalazimisha ubwashemAchana na mawazo ya kivulana bwashee.
Njoo huku Magufuli bus terminal wamejaa tele, pitia pia pale kawe kwa Mwamposa hutakosa jikoNdio nishachangamka nao siwaoni😂
Kwani wao wanasemaje hawatuoni aseeee au tunafanya kuforce😂😂Njoo huku Magufuli bus terminal wamejaa tele, pitia pia pale kawe kwa Mwamposa hutakosa jiko
Hao hao wenye hela wana kamsemo kasemako "Money can not buy life"Yaan we jamaa umeongea kitoto Sana
Angalia watu wote waliofanikiwa zaid Wana wake? Dunia ya Leo swala la kula hata haliitaji nguvu kubwa migahawa kila sehemu na mwisho stress ukiwa na hela unatoa wapi stress wakati unaweza pata unachotaka
Shida yako umejificha kwenye beting, toka huko mademu hawapo hukoKwani wao wanasemaje hawatuoni aseeee au tunafanya kuforce😂😂
Naona Sasa hii ni kampeni yakufanya mama ntilie wakose pesa saivi mko vizuri😂Hao hao wenye hela wana kamsemo kasemako "Money can not buy life"
Hakuna mwenye pesa aliye na la kujivunia duniani humu anapitia tu kisha anarudi mavumbini.
Chakula bora huandaliwa na mkeo na sio mama loves mamantilie
Sio kampeni, na wala mama ntilie hawawezi kosa wateja, machizi waliopo single na wale wabeba zege ni wateja wa kudumu kwa mama ntilieNaona Sasa hii ni kampeni yakufanya mama ntilie wakose pesa saivi mko vizuri😂
Sasa apa ushauri wako wabeba zege na masingle boy wote waowe kesho siendi kula kwa mama ntilie shida Ina kuja kwamba huyo unae muoa ni nani 😂😂Sio kampeni, na wala mama ntilie hawawezi kosa wateja, machizi waliopo single na wale wabeba zege ni wateja wa kudumu kwa mama ntilie
Wewe uliposema hakuna uwiano wa population baina ya wanaume na wanawake ulimaanisha niniIli iweje ?
Nilitaka nijimwage kero za ndoani humo,Usha comment mbn😂
Hicho nilichosemaWewe uliposema hakuna uwiano wa population baina ya wanaume na wanawake ulimaanisha nini
We endelea tuyajenge 😂tuNilitaka nijimwage kero za ndoani humo,
Mleta mada kakataza,We endelea tuyajenge 😂tu
Tupe kwa faida ya Wana jamii😂Mleta mada kakataza,
We oa mke mwema allyetoka kwa BWANA hapo hakutakuwa na shida, utapenda milo yake na utakuwa na afya bora.Sasa apa ushauri wako wabeba zege na masingle boy wote waowe kesho siendi kula kwa mama ntilie shida Ina kuja kwamba huyo unae muoa ni nani [emoji23][emoji23]
Bro ungejua huyo uliemuita ni mwanaume ungeshangaa sana. Acha nikuacheJoannah ukuje hapa usome comments za wanaume
Acha kutafsiri vibaya maandiko kijanaAmelaaniwa mtu yule amtegemeaye Mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake.
Mwanamke ni chombo cha starehe na siyo kinga ya mwanaume