Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #141
Wewe ni member wa CHAPUTA?Unatumia nguvu nyingi sana kuua CHAPUTA, hutofanikiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni member wa CHAPUTA?Unatumia nguvu nyingi sana kuua CHAPUTA, hutofanikiwa!
Wee jamaa bwana unajitambua kweli ?Data ni neno pia
Sana tuWee jamaa bwana unajitambua kweli ?
Faida za kuwa na mke kama mke au Mke Mwema..........? Issues sio kupata mke,issue ni kupata mke mwema............Faida za kuwa na mke ni nyingi sana.
Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi.
Wanaume wasiowa hawako salama kiafya kwa sababu wanakabiliwa na ulaji chakula kisicho bora, ulevi wa kupindukia, uzinzi na uasherati na tabia zingine hatari.
Utafiti mwingine wa 2023 wa wanaume 6,800 wenye umri wa kati ya miaka 45 na 84 uliofanywa na Chuo cha Marekani cha Cardiology ulionyesha kuwa wanaume waseja wana uwezekano mara mbili wa kukumbwa na mfadhaiko na kushindwa kwa moyo.
Faida iliyo kuu ya kuoa ni hii, "mkeo atakulinda na watu wanaokutumia vibaya. Atalinda sifa yako. Atakufanya uheshimike zaidi".
Na kuna upendeleo maalum kutoka kwa Mungu kwa yeye apataye mke (Mithali 18:22).
Kwa ujumla, wanaume wanapoowa, huwa wanafanya vyema maishani. Ndiyo maana Mungu anawaonya wanaume wasimsahau mke wa ujana wao ambaye aliwasaidia kusimama kwa miguu yao (Mal 2:14-16).
Kwa nini upige punyeto wakati Mungu amekuumbia mwenzako kwa kazi bora ya kibinadamu?
Biblia inasema ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa (1Kor 7:9). Jipatie msichana mzuri, hata kama ni ni 'lishangazi' we oa tu utaenjoy maisha marefu. Wekeza kwenye ndoa yako.
NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.
Pata mke ufurahie uumbaji wa Mungu.
#Wanawake msome comments tu za wanaume, comments zenu hazihitajiki kwa huu uzi.
Barikiwa.
Good, kwahiyo hapo kwa hiyo ratio kila mwanaume anatakiwa kuwa na wanawake wangapi sheikh, naomba usiniletee zile porojo zenu za sijui kuna wanaume wako jela sijui wengine mashoga, mapadre na vichaa, hata wanawake pia kuna ambao wako jela, kuna wasagaji, masister na vichaa vile vile
Kwa hiyo unataka kusema nini ? Maana ulitaka takwimu nimekupa sema unachotaka kusema.Good, kwahiyo hapo kwa hiyo ratio kila mwanaume anatakiwa kuwa na wanawake wangapi sheikh, naomba usiniletee zile porojo zenu za sijui kuna wanaume wako jela sijui wengine mashoga, mapadre na vichaa, hata wanawake pia kuna ambao wako jela, kuna wasagaji, masister na vichaa vile vile
Sasa si ndio nimekuuliza swali hapo kwa hiyo ratio unadhani kila mwanaume anatakiwa kuwa na wanawake wangapi haujaelewa niniKwa hiyo unataka kusema nini ? Maana ulitaka takwimu nimekupa sema unachotaka kusema.
Jamani aliepo single naomba aje PM tufanye jambo huku nimeshachika ukaperaFaida za kuwa na mke ni nyingi sana.
Nakala ya 2023 ya Ufadhili wa Utafiti wa Afya (HRF) ilionyesha kuwa wanaume walioowa wanaishi miaka 17 zaidi ya wanaume wasio na wenzi.
Wanaume wasiowa hawako salama kiafya kwa sababu wanakabiliwa na ulaji chakula kisicho bora, ulevi wa kupindukia, uzinzi na uasherati na tabia zingine hatari.
Utafiti mwingine wa 2023 wa wanaume 6,800 wenye umri wa kati ya miaka 45 na 84 uliofanywa na Chuo cha Marekani cha Cardiology ulionyesha kuwa wanaume waseja wana uwezekano mara mbili wa kukumbwa na mfadhaiko na kushindwa kwa moyo.
Faida iliyo kuu ya kuoa ni hii, "mkeo atakulinda na watu wanaokutumia vibaya. Atalinda sifa yako. Atakufanya uheshimike zaidi".
Na kuna upendeleo maalum kutoka kwa Mungu kwa yeye apataye mke (Mithali 18:22).
Kwa ujumla, wanaume wanapoowa, huwa wanafanya vyema maishani. Ndiyo maana Mungu anawaonya wanaume wasimsahau mke wa ujana wao ambaye aliwasaidia kusimama kwa miguu yao (Mal 2:14-16).
Kwa nini upige punyeto wakati Mungu amekuumbia mwenzako kwa kazi bora ya kibinadamu?
Biblia inasema ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa (1Kor 7:9). Jipatie msichana mzuri, hata kama ni ni 'lishangazi' we oa tu utaenjoy maisha marefu. Wekeza kwenye ndoa yako.
NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.
Pata mke ufurahie uumbaji wa Mungu.
#Wanawake msome comments tu za wanaume, comments zenu hazihitajiki kwa huu uzi.
Barikiwa.
We faida kwani huzijuiNaomba utuletee faida za kua na mume
Usha comment mbn😂Kwa hiyo wanawake tusicomment?
Haya sasa kumekuchaAmelaaniwa mtu yule amtegemeaye Mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yake.
Mwanamke ni chombo cha starehe na siyo kinga ya mwanaume
Ili iweje ?Sasa si ndio nimekuuliza swali hapo kwa hiyo ratio unadhani kila mwanaume anatakiwa kuwa na wanawake wangapi
Ukapera haufai changamka upate jiko.Jamani aliepo single naomba aje PM tufanye jambo huku nimeshachika ukapera