Zijue faida za kuwa na mke

Zijue faida za kuwa na mke

Yaan we jamaa umeongea kitoto Sana
Angalia watu wote waliofanikiwa zaid Wana wake? Dunia ya Leo swala la kula hata haliitaji nguvu kubwa migahawa kila sehemu na mwisho stress ukiwa na hela unatoa wapi stress wakati unaweza pata unachotaka
Hao hao wenye hela wana kamsemo kasemako "Money can not buy life"

Hakuna mwenye pesa aliye na la kujivunia duniani humu anapitia tu kisha anarudi mavumbini.

Chakula bora huandaliwa na mkeo na sio mama loves mamantilie
 
Naona Sasa hii ni kampeni yakufanya mama ntilie wakose pesa saivi mko vizuri😂
 
Naona Sasa hii ni kampeni yakufanya mama ntilie wakose pesa saivi mko vizuri😂
Sio kampeni, na wala mama ntilie hawawezi kosa wateja, machizi waliopo single na wale wabeba zege ni wateja wa kudumu kwa mama ntilie
 
Sasa apa ushauri wako wabeba zege na masingle boy wote waowe kesho siendi kula kwa mama ntilie shida Ina kuja kwamba huyo unae muoa ni nani [emoji23][emoji23]
We oa mke mwema allyetoka kwa BWANA hapo hakutakuwa na shida, utapenda milo yake na utakuwa na afya bora.
 
Back
Top Bottom