Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
-
- #21
Let's goNipo bampa tu bampa na wewe huu uzi unanihusu kwa asilimia zote
Inatuuma,tuna mengi ya kuzungumza.Tayari umecomment, nyie someni tu comments jamani 😊
Nitaleta uzi baadae kidogoNaomba utuletee faida za kua na mume
Ni kwa vipi mke atakulinda na watu wanao kutumia vibaya ? na Sifa yako ipi mkeo atailinda ?Faida iliyo kuu ya kuoa ni hii, "mkeo atakulinda na watu wanaokutumia vibaya. Atalinda sifa yako.
Nitaleta uzi wenu baadae kidogo, subiri kwanza tuwekane sawa sisi wanaumeInatuuma,tuna mengi ya kuzungumza.
Upendeleo gani huo utatoka kwa huyo Mungu ? Na vipi kwa wale wasio muamini ?Na kuna upendeleo maalum kutoka kwa Mungu kwa yeye apataye mke (Mithali 18:22).
Ni kipi anacho fanikiwa mwanaume akioa ? Ambacho asipo oa hafanikiwi ?Kwa ujumla, wanaume wanapoowa, huwa wanafanya vyema maishani. Ndiyo maana Mungu anawaonya wanaume wasimsahau mke wa ujana wao ambaye aliwasaidia kusimama kwa miguu yao (Mal 2:14-16).
Kwa hiyo nisome tu?Joannah ukuje hapa usome comments za wanaume
Unafahamu kuwa hakuna uwiano wa population baina ya wanawake na wanaume duniani ?Kwa nini upige punyeto wakati Mungu amekuumbia mwenzako kwa kazi bora ya kibinadamu?
Toka out na mkeo kila mara, mashangazi wakikuona upo benet na mkeo watakuheshimu na hapo ndipo mkeo anapokulinda na watu wabaya.Ni kwa vipi mke atakulinda na watu wanao kutumia vibaya ? na Sifa yako ipi mkeo atailinda ?
We soma tu commentsKwa hiyo nisome tu?
Sio kweliUnafahamu kuwa hakuna uwiano wa population baina ya wanawake na wanaume duniani ?
Kwenye Biblia hiyo hiyo Paulo na Yesu wamesema nini kuhusu faida ya mwanaume ambae haja oa na hana familia ya kumzonga ?Biblia inasema ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa (1Kor 7:9). Jipatie msichana mzuri, hata kama ni ni 'lishangazi' we oa tu utaenjoy maisha marefu. Wekeza kwenye ndoa yako.
Itakuwa ngumu,ngoja kwanzaWe soma tu comments
Umefanywa kwa wanaume wengi Sanam duniani poteUtafiti ulifanywa kwa wanaume wangapi ? Na sehemu gani duniani ?
Uliwapima ukagundua hilo ? Kwa huu mwaka toka January mpaka sasa September ni matukio mangapi yameripotiwa kutokea ndani ya ndoa kuonesha kuwa ugonjwa wa akili ni tatizo ?NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.
Uumbaji gani ?Pata mke ufurahie uumbaji wa Mungu.