Zijue faida za kuwa na mke

Zijue faida za kuwa na mke

Biblia inasema ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa (1Kor 7:9). Jipatie msichana mzuri, hata kama ni ni 'lishangazi' we oa tu utaenjoy maisha marefu. Wekeza kwenye ndoa yako.
Kwenye Biblia hiyo hiyo Paulo na Yesu wamesema nini kuhusu faida ya mwanaume ambae haja oa na hana familia ya kumzonga ?
 
Back
Top Bottom