Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tusi moja linatumiwa saana na watu wa ovyo, hivi linaitwaje nikumbushee!Zifuatazo ni hasara za matusi anazopata mtukanaji mwenyewe, na pia hasara anazowasababishia wale anaowatukana:
Hasara za Matusi Kiafya:
1. Kutukana kunaongeza viwango vya mfadhaiko wa akili, kiasi cha kusababisha magonjwa ya moyo na kushusha kinga ya mwili.
2. Matusi huamsha hasira na wasiwasi, na kupelekea ongezeko la shinikizo la damu.
3. Matukano yanaweza kusababisha huzuni na unyogovu kwa mtukanaji na anayetukanwa.
4. Wanaotukanwa wanaweza kushindwa kupata usingizi kwa sababu ya mawazo mazito na hivyo kusababisha magonjwa yatokanayo na kushindwa kulala.
5. Matusi huweza kuathiri mfumo wa neva. Mfadhaiko wa mara kwa mara unaotokana na matusi unaweza kudhoofisha utendaji kazi wa mfumo wa neva.
6. Matusi huweza kuongeza hatari ya magonjwa sugu. Mfadhaiko unaosababishwa na matusi unaweza kuchangia magonjwa kama kisukari na vidonda vya tumbo.
7. Matusi huchochea hasira. Matusi yanaweza kusababisha hisia za ghadhabu zinazodhuru afya ya mwili.
8. Watu wanaotukana mara nyingi wanakosa msaada wa kijamii, jambo linaloathiri ustawi wa hisia zao.
9. Watu wanaoathiriwa na matusi kuna wakati hujikuta wakijiumiza au kuwaza kujiua kwa sababu ya huzuni kubwa.
10. Matusi yanaweza kuchochea msongo wa mawazo unaoathiri mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Hasara za Matusi Kijamii
11. Matusi yanasababisha mahusiano mabovu katika jamii.
12. Watu wanaotukana hujipotezea heshima katika jamii.
13. Matusi yanaweza kusababisha mtu akanyanyapaliwa au kutengwa na jamii.
14. Katika familia, matusi husababisha ugomvi na uvunjifu wa umoja na mshikamano.
15. Matusi mara nyingi husababisha watukanaji kupoteza marafiki wa karibu.
16. Matusi huchochea watu kulipa kisasi na hivyo kusababisha migogoro mikubwa zaidi.
17. Mtu anayejulikana kuwa ana tabia ya kutukana anaweza kukosa msaada anapokuwa na uhitaji.
18. Matukano yanaweza kuchochea matendo ya ukatili, uuaji na vurugu.
19. Matusi mara nyingi husababisha kuvunjika kwa ndoa na kuchangia wana ndoa kupeana talaka.
20. Watu wanaotukana hujisababishia kutopendwa na jamii na hivyo wanajikuta wakiwa wapweke.
Hasara za Matusi Kiuchumi
21. Watukanaji huweza kupoteza kazi. Tabia ya kutukana mahali pa kazi inaweza kusababisha mtu kufukuzwa kazini.
22. Matusi kwa mfanyabiashara huweza kumfanya apoteze wateja. Biashara inaweza kupoteza wateja kutokana na lugha chafu za matusi kutoka kwa mmiliki wa biashara au wahudumu wake.
23. Matusi yanaweza kusababisha kazi kuzorota au kushusha ari ya uzalishaji.
24. Matusi huweza kusababisha watukanaji kushtakiwa kisheria kwa maneno yao ya chuki au dharau au kwa kuwavunjia wengine heshima.
25. Madhara ya kisaikolojia yanayohusiana na matusi yanaweza kumfanya mtukanaji au aliyetukanwa alipe gharama kubwa za kupata ushauri nasaha.
26. Wawekezaji wanaweza kukwepa kushirikiana na mtu au mfanyabiashara mwenye tabia ya matusi.
27. Matusi huleta migogoro ya kibiashara au uhasama kwa wadau wa biashara.
28. Matusi hupoteza bure muda wa kazi. Muda unaotumiwa na watukanaji ungeweza kutumika kuzalisha mali au kwa shughuli za kiuchumi.
29. Matusi huathiri sifa ya kampuni au shirika: Biashara au taasisi inayoendeshwa na watu wenye tabia ya matusi hupoteza sifa kwa wateja na washirika.
Hasara ya kiroho
30. Hii ni hasara kubwa kuliko zote. Mtukanaji asipotubu, hawezi kuingia mbinguni kwenye uzima wa milele. Katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:9-10 imeandikwa hivi:
"Au hamjui ya kwamba wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wasenge, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."
Mpaka hapo tumeona wazi jinsi matusi yanavyoleta hasara kiafya, kijamii kiuchumi na kiroho. Jitenge na matusi. Tubu dhambi hiyo mapema na uombe Mungu akusamehe na umruhusu Yesu atawale maisha yako. Yesu atakupa neema ya kuishinda dhambi ya matusi na dhambi zote nyingine. Barikiwa!
Mkuu, Hapa tunakumbushana tu hasara za matusi ili tuyazuie yasitoke katika vinywa vyetu. Yesu atakapokuja akute mioyo na midomo yetu iko safi atupeleke kwenye raha ya milele.Kuna tusi moja linatumiwa saana na watu wa ovyo, hivi linaitwaje nikumbushee!
Hoja zako nzuri mkuu, ila Mungu aliyetuumba mpe heshima yake, andika jina lake kwa kuanza na herufi kubwa "G" (God, sio god).Hakuna kitu huwa nakichukulia poa kama kutukanwa.
Asee!! Nitukane mpaka sauti ikukauke walaaa!!!
Mtu ambae matusi yana m-trigger , ni mtu emotional, na wengi ni hawa kina junior, Derrick(niongezee majina yao) waliolelewa na singo mama.(ukiachana na baba junior, mtoto mpeleke hata kwa anko yake , alelewe huko akue akisikia, sauti za mamlaka, singo mama chukua hiyo utanishukuru baadae)
Mwanaume mtu mzima, mtu akwambie pumbavu, shenzi, au lile lingine kubwa kubwa sijui, ninini mama ako, eti unakasirika unaanza kupigana, why???
Matusi ni mambo emotional, tuwaachie wanawake wakasirike sababu wameumbwa emotional, na waliumbwa emotional ila Mwanaume akapewa nguvu na akili ili ikitokea anataka kukupanda kichwani unamtigger emotional halafu akikasirika kutaka kukushambulia una mzuia sababu umepewa nguvu kisha anatulia,
Eti uniambie ndio maana umeumbwa mfupi, duuuh sasa ndivyo nilivyoumbwa, labda umuulize mungu kwa nini aliniumba mfupi, labda aliniumba mfupi ili nisiwe naziona stress za kesho(who knows) labda niliumbwa mfupi ili maadui zangu warefu wasinione, Huna sababu za kudeal na mimi juu ya ufupi wangu, ask god.
Yaani wewe ukijiskia kutukana, tukana weeee niko paleeee, ukimaliza niambie niondoke
Ungeweka anuani mwishoni watu wakutumie kuwapa ushauriZifuatazo ni hasara za matusi anazopata mtukanaji mwenyewe, na pia hasara anazowasababishia wale anaowatukana:
Hasara za Matusi Kiafya:
1. Kutukana kunaongeza viwango vya mfadhaiko wa akili, kiasi cha kusababisha magonjwa ya moyo na kushusha kinga ya mwili.
2. Matusi huamsha hasira na wasiwasi, na kupelekea ongezeko la shinikizo la damu.
3. Matukano yanaweza kusababisha huzuni na unyogovu kwa mtukanaji na anayetukanwa.
4. Wanaotukanwa wanaweza kushindwa kupata usingizi kwa sababu ya mawazo mazito na hivyo kusababisha magonjwa yatokanayo na kushindwa kulala.
5. Matusi huweza kuathiri mfumo wa neva. Mfadhaiko wa mara kwa mara unaotokana na matusi unaweza kudhoofisha utendaji kazi wa mfumo wa neva.
6. Matusi huweza kuongeza hatari ya magonjwa sugu. Mfadhaiko unaosababishwa na matusi unaweza kuchangia magonjwa kama kisukari na vidonda vya tumbo.
7. Matusi huchochea hasira. Matusi yanaweza kusababisha hisia za ghadhabu zinazodhuru afya ya mwili.
8. Watu wanaotukana mara nyingi wanakosa msaada wa kijamii, jambo linaloathiri ustawi wa hisia zao.
9. Watu wanaoathiriwa na matusi kuna wakati hujikuta wakijiumiza au kuwaza kujiua kwa sababu ya huzuni kubwa.
10. Matusi yanaweza kuchochea msongo wa mawazo unaoathiri mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Hasara za Matusi Kijamii
11. Matusi yanasababisha mahusiano mabovu katika jamii.
12. Watu wanaotukana hujipotezea heshima katika jamii.
13. Matusi yanaweza kusababisha mtu akanyanyapaliwa au kutengwa na jamii.
14. Katika familia, matusi husababisha ugomvi na uvunjifu wa umoja na mshikamano.
15. Matusi mara nyingi husababisha watukanaji kupoteza marafiki wa karibu.
16. Matusi huchochea watu kulipa kisasi na hivyo kusababisha migogoro mikubwa zaidi.
17. Mtu anayejulikana kuwa ana tabia ya kutukana anaweza kukosa msaada anapokuwa na uhitaji.
18. Matukano yanaweza kuchochea matendo ya ukatili, uuaji na vurugu.
19. Matusi mara nyingi husababisha kuvunjika kwa ndoa na kuchangia wana ndoa kupeana talaka.
20. Watu wanaotukana hujisababishia kutopendwa na jamii na hivyo wanajikuta wakiwa wapweke.
Hasara za Matusi Kiuchumi
21. Watukanaji huweza kupoteza kazi. Tabia ya kutukana mahali pa kazi inaweza kusababisha mtu kufukuzwa kazini.
22. Matusi kwa mfanyabiashara huweza kumfanya apoteze wateja. Biashara inaweza kupoteza wateja kutokana na lugha chafu za matusi kutoka kwa mmiliki wa biashara au wahudumu wake.
23. Matusi yanaweza kusababisha kazi kuzorota au kushusha ari ya uzalishaji.
24. Matusi huweza kusababisha watukanaji kushtakiwa kisheria kwa maneno yao ya chuki au dharau au kwa kuwavunjia wengine heshima.
25. Madhara ya kisaikolojia yanayohusiana na matusi yanaweza kumfanya mtukanaji au aliyetukanwa alipe gharama kubwa za kupata ushauri nasaha.
26. Wawekezaji wanaweza kukwepa kushirikiana na mtu au mfanyabiashara mwenye tabia ya matusi.
27. Matusi huleta migogoro ya kibiashara au uhasama kwa wadau wa biashara.
28. Matusi hupoteza bure muda wa kazi. Muda unaotumiwa na watukanaji ungeweza kutumika kuzalisha mali au kwa shughuli za kiuchumi.
29. Matusi huathiri sifa ya kampuni au shirika: Biashara au taasisi inayoendeshwa na watu wenye tabia ya matusi hupoteza sifa kwa wateja na washirika.
Hasara ya kiroho
30. Hii ni hasara kubwa kuliko zote. Mtukanaji asipotubu, hawezi kuingia mbinguni kwenye uzima wa milele. Katika kitabu cha 1 Wakorintho 6:9-10 imeandikwa hivi:
"Au hamjui ya kwamba wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wasenge, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."
Mpaka hapo tumeona wazi jinsi matusi yanavyoleta hasara kiafya, kijamii kiuchumi na kiroho. Jitenge na matusi. Tubu dhambi hiyo mapema na uombe Mungu akusamehe na umruhusu Yesu atawale maisha yako. Yesu atakupa neema ya kuishinda dhambi ya matusi na dhambi zote nyingine. Barikiwa!
Tatizo la kutumia matusi ya zamani, tumia matusi mapya mfano shati lako ama chura wa udizungwa, hahaha 🤣Zifuatazo ni hasara za matusi anazopata mtukanaji mwenyewe, na pia hasara anazowasababishia wale anaowatukana:

Satisfaction..!!Faida zake ni zipi kwa maana kila jambo lina faida na hasara zake..
Kuna ya zamani na mapya mazito, na kuna mepesi. Tumia mapya mepesi.Matusi ni matusi tu. Tuyaepuke. Hata hayo ya zamani kuna wakati yalikuwa mapya.
Wanawake wanapenda kujitukana kwa kusema hiyo ya mama yako wakati yeye mwenyewe anayo, hahaha 🤣, huwa nawashangaa sana, kunasiku nilikuwa napita kitaa nikakuta mdada kashupalia kuliporomosha hilo tusi kwa wanaume huku wakina mama na watu ambao walizidi 14, wakimsikiliza, nikataka nimkumbishe kwamba mbona unayo mwenyewe nikamua kula batiKuna ya zamani na mapya mazito, na kuna mepesi. Tumia mapya mepesi.
Didn't you ever throw an insult to anyone??..Nope!!
Insults may thrill, but leave the heart still.
Mtafute, umtajie hasara hizo 30, inaonekana hazijui.Wanawake wanapenda kujitukana kwa kusema hiyo ya mama yako wakati yeye mwenyewe anayo, hahaha 🤣, huwa nawashangaa sana, kunasiku nilikuwa napita kitaa nikakuta mdada kashupalia kuliporomosha hilo tusi kwa wanaume huku wakina mama na watu ambao walizidi 14, wakimsikiliza, nikataka nimkumbishe kwamba mbona unayo mwenyewe nikamua kula bati