Zijue Hasara 30 za Matusi(Kutukana)

Zijue Hasara 30 za Matusi(Kutukana)

HIZI HAPA FAIDA ZA MATUSI
1)
H
utumika kama kivumishi cha sifa.. Examle Yule demu ni mkali ki***nge
2)Huonesha hisia na hali ya kiafya ya mtu kama hasira, furaha, uchovu n.k Examle Unahisi sisi ni maroboti siyo kum****ke, beba na wewe hizo sement
3)Matushi ni burudani kwa watu wengne. wapo watu wanapenda kutukana ama kusikia wengine wakitukanwa
Afu kweli,nilimshushia furushi la matusi jirani yangu na baada ya hapo nikajihisi mwepesi ila nililala polisi siku mbili[emoji28][emoji28]
 
Setfree
Swearing ni kuapa sio, ila swearing pia ni kutukana.
Insults halina uzito kama swearing.
Kuapa na kutukana yote ni makosa kwa mujibu wa biblia.
Lakini ni kama kuapa kumehalalishwa hadi kiserikali. Kama nakosea nirekebishe Apostle!
 
Back
Top Bottom