Zijue Hasara 30 za Matusi(Kutukana)

Kuna tusi moja linatumiwa saana na watu wa ovyo, hivi linaitwaje nikumbushee!
 
Hakuna kitu huwa nakichukulia poa kama kutukanwa.

Asee!! Nitukane mpaka sauti ikukauke walaaa!!!

Mtu ambae matusi yana m-trigger , ni mtu emotional, na wengi ni hawa kina junior, Derrick(niongezee majina yao) waliolelewa na singo mama.(ukiachana na baba junior, mtoto mpeleke hata kwa anko yake , alelewe huko akue akisikia, sauti za mamlaka, singo mama chukua hiyo utanishukuru baadae)

Mwanaume mtu mzima, mtu akwambie pumbavu, shenzi, au lile lingine kubwa kubwa sijui, ninini mama ako, eti unakasirika unaanza kupigana, why???

Matusi ni mambo emotional, tuwaachie wanawake wakasirike sababu wameumbwa emotional, na waliumbwa emotional ila Mwanaume akapewa nguvu na akili ili ikitokea anataka kukupanda kichwani unamtigger emotional halafu akikasirika kutaka kukushambulia una mzuia sababu umepewa nguvu kisha anatulia,

Eti uniambie ndio maana umeumbwa mfupi, duuuh sasa ndivyo nilivyoumbwa, labda umuulize mungu kwa nini aliniumba mfupi, labda aliniumba mfupi ili nisiwe naziona stress za kesho(who knows) labda niliumbwa mfupi ili maadui zangu warefu wasinione, Huna sababu za kudeal na mimi juu ya ufupi wangu, ask god.

Yaani wewe ukijiskia kutukana, tukana weeee niko paleeee, ukimaliza niambie niondoke
 
Kama ingekuwa kweli then I would've been fuking dead by now.
 
Kuna tusi moja linatumiwa saana na watu wa ovyo, hivi linaitwaje nikumbushee!
Mkuu, Hapa tunakumbushana tu hasara za matusi ili tuyazuie yasitoke katika vinywa vyetu. Yesu atakapokuja akute mioyo na midomo yetu iko safi atupeleke kwenye raha ya milele.
 
Hoja zako nzuri mkuu, ila Mungu aliyetuumba mpe heshima yake, andika jina lake kwa kuanza na herufi kubwa "G" (God, sio god).
 
Ungeweka anuani mwishoni watu wakutumie kuwapa ushauri
 
Tatizo la kutumia matusi ya zamani, tumia matusi mapya mfano shati lako ama chura wa udizungwa, hahaha 🤣
 
Yaani wewe ukijiskia kutukana, tukana weeee niko paleeee, ukimaliza niambie niondoke
Daah, wewe shujaa. Kama bado hujaokoka basi umebakiza hatua moja tu uokoke.
 
Kuna ya zamani na mapya mazito, na kuna mepesi. Tumia mapya mepesi.
Wanawake wanapenda kujitukana kwa kusema hiyo ya mama yako wakati yeye mwenyewe anayo, hahaha 🤣, huwa nawashangaa sana, kunasiku nilikuwa napita kitaa nikakuta mdada kashupalia kuliporomosha hilo tusi kwa wanaume huku wakina mama na watu ambao walizidi 14, wakimsikiliza, nikataka nimkumbishe kwamba mbona unayo mwenyewe nikamua kula bati
 
Mtafute, umtajie hasara hizo 30, inaonekana hazijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…