Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante. nimetekeleza hilo mkuuMkuu Volvo/Scania ni Sweden.
Namba 4 Rekebisha
Asante kaka, lakini upo uhusiano wa Hizo DAF na Leyland ya UK, na ndio wakatoa hiyo Leyland DAFHiyo sio. Hiyo ni ya waolanzi.
Humu huwezi kusikia bali unasoma tuMbon cjackia fic ,ungo n.k
Lambogine ni ya wapi (nimepatia jina kweli)Ashok ni mdosi na Hyundai ni mkorea
Hill nalo nenoHumu huwezi kusikia bali unasoma tu
Magari yapo mengi barabarani na mengine tunayamiliki. je tunajua nchi zinazomiliki kampuni za magari hayo?
1. TOYOTA, NISSAN, ISUZU, SUZIKI,MAZDA, HONDA na MITSUBISHI-JAPAN
2. MERCEDEZ BENZ, MAN, VOLKSWAGEN na BMW- GERMANY
3. JEEP na HAMMER- USA
4. FIAT, IVECO-ITALY
5. SCANIA-SWEDEN
6. RANGE/LAND ROVER-U.K
7. TATA-INDIA
8. FAW na HYUTONG-CHINA
ONGEZENI NA WENGINE!
Mbon cjackia fic ,ungo n.k
Huyo ni mtaliano ( Lamborghini )Lambogine ni ya wapi (nimepatia jina kweli)
Magari yapo mengi barabarani na mengine tunayamiliki. je tunajua nchi zinazomiliki kampuni za magari hayo?
1. TOYOTA, NISSAN, ISUZU, SUZIKI,MAZDA, HONDA na MITSUBISHI-JAPAN
2. MERCEDEZ BENZ, MAN, VOLKSWAGEN na BMW- GERMANY
3. JEEP na HAMMER- USA
4. FIAT, IVECO-ITALY
5. SCANIA-SWEDEN
6. RANGE/LAND ROVER-U.K
7. TATA-INDIA
8. FAW na HYUTONG-CHINA
ONGEZENI NA WENGINE!
Mercedes Benz - Germany
BMW - Germany
VW - Germany
Audi - Germany
Ferari - Italia
Buggati Veroin - Germany
Posche -
Lamborgin - Italia
Meserati -
Royce rolls - England & Germany
Hammer - Usa
Cardilac - Usa
Chevrolet - Usa
Lincolin - Usa
Bently - Usa
Hii nayo ni kampuni kubwa??? Mbona sijawahi ona haya magari barabaran???9.NYUMBU - Tanzania