GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini
2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo Fainali
3. Simba SC Wameroga ili Mvua inyeshe na tufungwe
4. Mchezaji wetu Tegemeo Khalid Aucho hakuwepo na kutokuwepo Kwake hata Machi ya Algeria ndiyo sababu ya kutochukua Kombe
5. Nabi si Kocha sema Basi tu anasafiria Upepo na Nyota ya Utajiri wa GSM unaoipa Mafanikio Yanga SC
6. Hata ikitokea tukakosa Ubingwa na Kombe hao wanaotucheka wamefika wapi Kimashindano?
7. Ubingwa Kwetu siyo Muhimu ila tumeitangaza nchi na kumtangaza vyema Rais Samia Suluhu Hassan
Kudadadeki Wiki hii mtatukoma JF!!