Zijue mascara na namna ya kupaka

Zijue mascara na namna ya kupaka

Angalizo muhimu best
Msije ninanga shogayenu ooh mwenyewe kungwi na yamemshinda [emoji26][emoji26]
Ndio maana nimesema mapema kabisa

Hauko mwenyewe mbona my dear!

Ndoa yenyewe tu inamfanya mtu kuwa kungwi bila kupenda, haijalishi ndani kuko vipi..
Lakini kungwi wewe unamfaa sana Mbiti..[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] Umenifanya nicheke kwa sauti [emoji3]

Mpaka miundo ya chupa!![emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe cheka tuu lakini ukweli upo pale pale mlevi / mnywaji hana muda wa kuangalia rangi na shape ya chupa lakini akina sisi tusioonja ndio tuna muda wa kuchunguza hivyo vitu na kusoma % ya alcohol yaan ili mradi tuu kujitia shughuli muda uende Mr pampula amalize kinywaji chake tuondoke [emoji127][emoji124][emoji124]
 
Hahah!, lakini Ney!!![emoji28]

Ama kweli wewe sio mnywaji kama akina sisi hapa tunaoangalia hivi vigezo.
Sana sana tena hiyo level ya alcohol, maana lazima isomwe, kutafakariwa na kupimwa kwanza kutokana na mlo uliokula kuhakisha vipimo vitaendana na uzito wake..[emoji72]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom