Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Hizo zawadi zikiletwa ujue ni za ukoo.
Hahahah!, zitakavyo fichwa sasa..
Yasije kuwa ya Heaven Sent ya Fyuuuuuuu!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zawadi zikiletwa ujue ni za ukoo.
Nami naruhusiwa kuagiza? Aniletee raba kaliii nimzawadie shemeji yake.
Hahahaaaa! Hs hana adabu.Hahahah!, zitakavyo fichwa sasa..
Yasije kuwa ya Heaven Sent ya Fyuuuuuuu!..
Badi sawa mama.Bila shaka, shemeji is more than welcome!
Nimeona Dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashindwa kuelewa Kwa nini huwa wanadhani mtu unataka kupendeza kwa ajili yao tu.
Mtu akijiweka vizuri hata anajisikia vizuri na kuwaza mazuri.
Basically, kupendeza lift up the mood.
Hahaha!, gaal!, mwisho kuvaa beach wear lini! [emoji2]
Again, all the best na safari! [emoji12]
Naomba dhawadi ya perfume, isiwe Pampula tyuu...lol
Halafu usiwaambie espy Heaven Sent na Neybright
Ntawapea ma empty bottles ikiisha..[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaaaa nilipenda vazi lake [emoji23][emoji23][emoji23]Ooh hataree. Au ujirembe kama sweet fellah kwenye birthday yake
Weeeee sio kwa ile fashoooooonAhahahaaaaaa nilipenda vazi lake [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan mmenikumbusha bado nacheka mpaka sasahivi, wolper sio mtu wa mchezo mchezo sio kwa kumnanga kule mwenzie[emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia wolper alimvisha neti, ha haa watu wachokozi
Ni mwendo wa kutabasam tuu hata kama kuna jambo la huzuniSie tutakunywa tu hata ufunge harusi na sheik au mchungaji, tunaingia na bampa zetu
Watu wanamaneno eti alivyosimama kama malaika muovu kaangushwa kutoka binguniWeeeee sio kwa ile fashoooooon
Kabisa [emoji23] [emoji23]Ni mwendo wa kutabasam tuu hata kama kuna jambo la huzuni
Haha mbona malaika muovuWatu wanamaneno eti alivyosimama kama malaika muovu kaangushwa kutoka binguni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuanike tuu Mrs pampula
Ni mwendo wa kutabasam tuu hata kama kuna jambo la huzuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!, kwa kweli ni kutabasamu tu, ni hapo sasa wakati mchungaji au Shekhe atapokuwa anadondosha sala au Dua halafu wakina sisi tunaangusha vicheko...lol! [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Hahah!, asee MBITIYAZA inabidi ajipange vizuri kwa kweli, sio kwa mashosti hawa...lol!
Ahahahaaaaaa uwiii embu niache miehahaa yaan nikimuona ney nakumbuka majuz jaman !dah kweli huyu ni mrs pampula