REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Bila kupoteza muda kichwa cha Habari chahusika,
Hizi ni baadhi ya machines ambazo zimekua common kwa maisha ya kila siku Tanzania lakini kwa upande wa majirani zetu ni kitendawili
na pengine hawajawahi kuziona wala kuzisikia au baadhi yao waliopata bahati ya kuitembelea Tanzania ndipo walipokutana nazo for the first time in their whole lives.
1. Ni LUKU (Lipia Umeme Kadiri Utumiavyo) Tanesco token ya muda mrefu, ni kifaa kinachokuwezesha kununua units za tanesco kuendana na pesa yako utapewa digits
ambazo utazijaza kama airtime kwenye token yako, utaweza kutumia units zako zikiisha automatically meter itazuia umeme mpaka utakapo recharge tena, zipo sana Tanzania nzima mpaka vijijini lakini Kenya hakuna
2. Ni Road Traffic Speed Radar, hii ni kifaa ambacho Tanzania kimezoeleka kama torch,
askari wa usalama barabarani anapima mwendo wa gari hata kama gari lipo mbali na ukimfikia atakupa notification kama ulikua kwenye high speed tofauti na speed inayotakiwa mahali hapo utaandikiwa fine. Zipo nchi nzima lakini Kenya ni kitendawili.
NB ni chanzo kikubwa cha revenues kwa sasa.
3. Tanzania Revenue Authority EFD, ni machines za kitolea risiti ambazo zinatumika kwa kila mfanyabiashara na mtoa huduma
Tanzania ambapo zipo connected to the database ambapo inamuwezesha mfanyabiashara kuweka memory ya selling na TRA kupata actual revenue kuendana na business flow hii ipo Tanzania tu, Kenya hazipo.
To be continued. .. .