Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

IAAF is the Only Reason Everton Is playing Gor Mahia in Tanzania They would have otherwise played in Kenya
ea487d09247130440994b06814a6f1f4.jpg

d3bc6bee8525bf7fb58f7576cfb2680c.jpg

1d2b99ba65f2deb90ba56ce8584d311c.jpg

Hamna Talent Down South
NGOJENI KESHO OPENING CEREMONY YA IAAF Mtatii.....

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Now am just flossing
NAIROBI KENYA

a5759e5ea313fa8137b2a23dacbd580e.jpg

KASARANI
89958a214f3b43a01b7075f0289315ff.jpg
0adaf0ebecf160892ce34f0972fb919b.jpg
25398e7d095b053ba9d7b361795df0c7.jpg
04030b1ff890b562687ebebcbb32d61f.jpg
a4ab9c5420b51107061fd86cc24c8082.jpg
a0670d20b2d5bfeef47d984d8017abfb.jpg
d024e5e29a04864cec44537ac218e68f.jpg
a20f39732571fbd2dca0d1477b56b2a3.jpg
24ecc7e0702cab433db7285e0a6d9e0e.jpg

Kenyatta University
Athletic Village and High Facility Training Centre for IAAF it got 50mn$ worth of Equipments
056476f5522dec6cb1d713e135bcc259.jpg
a6cb26ba90b89c31792ba77d7c54396a.jpg

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Naona umeanza kuwa kichaa sasa. Device ipi hapo umetuonesha!?
 
Hyo Stadium Yenu ya TZ inawasaidia nn??

Smh!
10de67dec8bc6d444f8e191081d60e77.jpg
f5705a602a6e0e23ec364bb6eb2da151.jpg

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
They're not just available. They've been available for decades. Kweli kukosa maarifa ni kitu cha ajabu. Huenda lile flyover la Ubungo ambalo tangu 2012 walipoanza kupiga kelele halijaanza kujengwa likimalizika utasikia eti lipo Tanzania tu, Kenya hawana.
Hata lile radar bovu tulioletewa na mkapa miaka ile tulilisifu hivihivi! Tena mkapa kwa kujua kuwa sisi ni empty head akatuaminisha kuwa lipo tanzania Na Urusi tu! Tena akatuambia kuwa hata wale waingereza akina clare short waliotupigia kelele kuwa tunaibiwa walikuwa na wivu kwa sisi kuwa na radar bora kabisa ambayo hata wao hawana! Mwishowe tukaaibika! Nijuavyo kwa dunia ya leo hakuna cha peke yako.
 
You're an honest man.
 
Fellow Kenyans Dont Front

3c8a68e33602be21317a938f17197cc9.jpg

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha Kigali zipo kila mahali hata ukikata tickets unapewa risiti ya electronic

Sent from my HUAWEI MT7-L09 using JamiiForums mobile app
 
DigiSuper Camera. Only in Tanzania not in Kenya. Hahahahahaha

501925

azam-jpg.501924
hii thread ilinipitia wapi mwaka jana?..shabash!!!!

jamani thread kama hizi muwe mnani tag ili niwe nakuja kuliamsha dude. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Yani, watakuambia Adam na Eva walizaliwa Kenya.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
You're just as ignorant as a village idiot. Ww untoka Mwanza ukaingia Dar wiki jana ukaziona mara ya kwanza ukadhani nchi jirani hazina ?

Vitu vyenye mi huona hapa ni Neanderthal kweli. Just so you know, hata shosh wangu ako na hiyo ghasia ( PAYG Power tokens ) unachodhani kuwa adimu kama iPhone!
aah wapii leta evidence! Hata water paying meters hazipo Kenya.
 
Back
Top Bottom